
Wakazi wote wa Seattle na vitongoji vyake mnakaribishwa kwa wingi mje mshuhudie umahariri wa Mwanamuziki wetu huyu kutoka Tanzania. "CINDERELLA", "MAC MUGA" "NAKSHI MREMBO" "NJIWA" Ni baadhi ya vibao ambavyo Alikiba ataviporomosha jukwaani pamoja na vingine sita kutoka kwenye albamu yake mpya anayotegemea kuitoa Mwakani.
Alikiba anawaahidi washabiki wake kuwapa kitu special siku hiyo ya jumamosi kwa hivyo basi usikose kuhudhuria. kwa maelezo zaidi angalia flier hapo juu ama nenda
NIMEICHOKA HII SURA APA,,,khaaaaa
ReplyDelete