lady jd na machozi band wakitumbuiza usiku huu wa boxing day katika shoo yao ya kila ijumaa hapa dar ukumbi wa chinese (dah! jina halitamikiki, limekaa kichina china; mnaolijua saidieni wadau) na hapo karibu kila aliye mtokaji aliye mtokaji utamkuta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Ndugu wadau ,
    Hongereni sana kwa kusheherekea vyema sikukuu ya noeli na kwa wale haikuwa vyema poleni pia.
    Mimi nilikuwa na swali la kizushi kuwa kwa nini lady jaydee siku hizi ameanzaa kuvaa nguo za heshima,
    je ameisha pata ujauzito?
    mdau
    ukerewe

    ReplyDelete
  2. Michuzi bana..Unakuwaga mzushi sometimes...Sasa Tatizo Kutamka Ilo Jina La Club Ama ''Kuliandika'' Yaani Unajiwekea Ugumu kwenye mambo We Liandike Tu..Watu Watalitamka...Pamoja
    BYBUSHA Mwengine.

    ReplyDelete
  3. Haina ubishi siku hz inakimbiza ukimkuta JONIKO FLOWER MAUA ...rapa wao akikupa za kijoti joti nusu nwanivunje kiuno last week...zeze

    ReplyDelete
  4. Acheni kukufuru MUNGU jamani kwani mbona huyo dada anajiheshimu siku zote na anavaaga nguo za heshima, kuwa na mimba sio ishu pia unaweza kuzaa na toto likawa taahira vile vile msimpangie muumba na msimkejeli binadamu mwingine

    ReplyDelete
  5. Namuona Linah alikuwa Project fame..dada yuko makini alikuwa na Displine sana akiwa Kambini.

    ReplyDelete
  6. HAPO MAHALA ANAPIGA JIDE PANAITWA ZHONGHUA SOON ATAJENGA YA KWAKE NAVOSIKIA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...