Home
Unlabelled
boxing day kwa jide
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ndugu wadau ,
ReplyDeleteHongereni sana kwa kusheherekea vyema sikukuu ya noeli na kwa wale haikuwa vyema poleni pia.
Mimi nilikuwa na swali la kizushi kuwa kwa nini lady jaydee siku hizi ameanzaa kuvaa nguo za heshima,
je ameisha pata ujauzito?
mdau
ukerewe
nice
ReplyDeleteMichuzi bana..Unakuwaga mzushi sometimes...Sasa Tatizo Kutamka Ilo Jina La Club Ama ''Kuliandika'' Yaani Unajiwekea Ugumu kwenye mambo We Liandike Tu..Watu Watalitamka...Pamoja
ReplyDeleteBYBUSHA Mwengine.
Haina ubishi siku hz inakimbiza ukimkuta JONIKO FLOWER MAUA ...rapa wao akikupa za kijoti joti nusu nwanivunje kiuno last week...zeze
ReplyDeleteAcheni kukufuru MUNGU jamani kwani mbona huyo dada anajiheshimu siku zote na anavaaga nguo za heshima, kuwa na mimba sio ishu pia unaweza kuzaa na toto likawa taahira vile vile msimpangie muumba na msimkejeli binadamu mwingine
ReplyDeleteNamuona Linah alikuwa Project fame..dada yuko makini alikuwa na Displine sana akiwa Kambini.
ReplyDeleteHAPO MAHALA ANAPIGA JIDE PANAITWA ZHONGHUA SOON ATAJENGA YA KWAKE NAVOSIKIA
ReplyDelete