Hebu cheki Shemeji langu la nguvu pamoja na mama mzazi wa my wife wangu ni jana katika tafrija ya kumpongeza Anna(Nankondo) baada ya kukamata nondozzz lake la kwanza chuo kikuu cha Mzumbe siku ya ijumaa .Alikula nondozzz ya uhasibu na uchumi (BAF) Ila mimi kama shemeji mtu nimemuonya asije akathubutu ku-EPAlaizi.
Mdau Julius
Hongera shemeji
ReplyDeleteBratha Misupu mbona unatunchanganya weye! wewe si unadai my wife wako anatoka Uganda? ama ndo familia yao isha hamia Bongo kuomba ASYLUM?
ReplyDeleteMdau Julius natangaza ndoa kwa shem wako.
ReplyDeleteWasifu wangu:
Umri 29
Elimu Msc kazi nzuri malipo mazuri
Mrefu 6"3 maji ya kunde
Mpole sina makuu nina tabia nzuri
Mdau marekani
http://www.youtube.com/watch?v=p95zWsAmTyw
ReplyDeleteMzumbe hakuna degree ya uhasibu na uchumi. Hiyo BAF ni Business Accounting and Finance. Kwa kifupi ni B.ACC (BAF), yaani Bachelor of Accountancy in Business Accounting and Finance.
ReplyDeleteMpe hongera shemeji yako kwa kuikwaa hiyo nondo.
Hongera sana dadangu..
ReplyDeleteLakini hivi ni kwanini sisi wabongo huwa hatu-smailigi (smile) kwenye picha ili angalau picha zinoge? Graduu ni kitu cha ku-celebrate, na si kitu cha kuhuzunikia.
Hilo ni wazo tu..
Kaka Julzz tupeane madijiti basi hayo ya shem au kashachukuliwa?...au inakuwaje-kuwaje. Mdau uzalendo ushanishinda tayari...
ReplyDeleteKaka Jully, chunga sana huyo anyeomba uchumba kwa shemeji, anadai na tabia nzuri sijui hamna lolote, kwanza kujisifia mwenyewe hana makuu na tabia nzuri tayari keshajichanganya, hana heshima hata kidogo.
ReplyDeletehongera Nankondo kuikwaa nondozzz!! ila uwage unachekaga kidogo ukiwa unapiga pichaaaaazzz.
Ha ha haaa, nimefurahi sana kwa ujumbe bwana Julius.Asante kwa picha na hongera sana kwa shemeji.Pls fanya kazi kwa bidii, sisi walipa kodi wote wa Tanzania tumechangia elimu yako , NO EPA-LISATION, Please.
ReplyDeletekumbe kweli nilifikiri utani!naskia sikuiz wanaume wanapenda wanawake wasomi nimehakikisha usemi huu,maana tayari watu washaanza kuuza sura kwa dada yetu hapo.Siri kwakina dada kazaneni mmalize shule mtaolewa kirahisi sana.
ReplyDeleteUMECHAPIA MZUMBE HATUNA NONDO YA UHASIBU NA UCHUMI USIRUDIE TENA.
ReplyDeletemakubwa
ReplyDeleteila duh wanaume wa siku izi mwanamke msomi dili ile mbaya mana weshagutuka zile mambo oooo sijui asiyesoma katulia ana adabu waaaapi nyinyi???
wanaume weshaona ugumu wa kula kulala wataka mteremko hahahahahaha
aaaaa kwa sana tu buku na vijisenti kina dada,yan dume aja akukuta una house,usafiri nk nk basi penzi lashamili mana nooo kuombana weee mana ndo ugomvi wapoanzia
KAKA MICHUZI, SIJUI HATA NIKWAMBIE NINI ILA KWA UFUPI HIYO PICHA TU INATOSHA KUMTOA NYOKA PANGONI. MTOTO ANAVUTIA SIO MCHEZO. KAMA VIPI MIMI NIKO SINGO, SIJAPLAN KUOA LKN KWA SHEMEJI YAKO NITABADILISHA UAMUZI MARA MOJA. ELIMU YANGU CHEKECHEA LKN MAMBO YANGU SAFI. ASITIE SHAKA ATAKULA BATA MPAKA ASHANGAE NA MOYO WAKE.
ReplyDelete