Mheshimiwa Balozi wa Zain,
Namtafuta rafiki yangu jina lake Hija Mbonde na Dada yake aitwae Rehema Said Alawi.Mimi niko Marekani.Mara ya mwisho kuwasiliana na Hija ni mwaka 1999.Nasikia alikuja Marekani.Mara ya Mwisho Rehema alikuwa Uingereza..Naomba wawasiliane na Mimi kwa kutumia e mail address hii
Kazi njema
Mdau USA
Mdau,Sina hakika kama tunazungumzia Hija mmoja, ila Hija ninayemfahamu mimi(naye alikuja Marekani) kupitia kwa Kaka yangu, ni kwamba alifariki Dar es salaam kama mwaka na nusu uliopita! Taarifa za kifo chake zinasikitisha sana na siwezi kuzimwaka hapa....
ReplyDeletePoelmart5@yahoo.com