

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HAPO NDO UKUTE NI YA MKOPO HATA NUSU HAIJARUDI, AFU IMEPIGWA BIMA THIRD PARTY!!!!!!
ReplyDeleteHAO JAMAA NAUHAKIKA WAKO KATIKA HARAKATI ZA KUAMBULIA CHOCHOTE MANA HAKUNA SURA YA USAMALIA WEMA HAPO ....WIZI MTUPU HAPO!!!!!!!!!
NINGEKUWA NA UWEZO DALADALA ZISINGETEMBEA BARABARANI WALLAH WEHU SANA!
Maeneo hayo hayo ya morocco jana usk kuna coaster moja lenye ufito wa rangi nyekundu route za morogoro road kama sijakosea lilitumbukia morocco upande wa kushoto mwa barabara inayoenda mwenge(yani kushoto kama unaelekea mwenge), sikuweza kupata maelezo zaidi, so tuwe waangalifu jamani.
ReplyDeleteDuh!
ReplyDeleteDah Michuzi mbona hujatumbia hao mafundi wametoka kampuni gani maana inaonekana wanajali sana wateja.. si unaona mwenyewe walivyofika eneo latukio haraka na kuanza kushughulika!!
ReplyDeleteHao wanaokoa au wanastrip gari ya watu. Police wa kupima hiyo ajali hamna na towing company vipi?
ReplyDeleteBONGO TAMBARARE POMBE NA MAGARI!+ hamna sheria barabani.Hufungwi ukishikwa umelewa.
ReplyDelete