PROMOTA ABBAS CHEZNTEMBA (KULIA) AKIWA NA MPIGA GHANUUN BINGWA TOKA ZENJ WAKATI WA MKUTANO WAO NA WAANDISHI WA HABARI LEO KUHUSU SHOO YA KUNDI KONGWE LA MALINDI TAARAB BAND 'INNAKHWAN SAFAA' LITALOTUMBUIZA IJUMAA HII UKUMBI WA TRAVETINE MAGOMENI HAPA DAR.
ABBAS CHEZNTEMBA AMESEMA WAMEAMUA KULETA TAARABUI ASILIA ILI WADAU WA MUZIKI HUO WA JIJINI WAFAIDI MASHRAF NA KUJUA NINI MAANA YA TAARAB KWA KIINGILIO CHA SHILINGI 7,000 (VITI VYA KAWAIDA) NA SH. 10,000 (VITI VYA DHAHABU NA 20,00/0 (EXECUTIVGE PAMOJA NA MSOSI).
AMESEMA WASANII MWANAHAWA ALI, ZUKIA RAMADHANI NA MWANAIDI SHAABAN WATAKUWEPO PAMOJA NA MABINGWA WA TAARAB BARA NA AFRIKA MASHARIKI, MELODY

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. commmon michuzi!!! sio INNAKHWAN SAFAA NI AKHWAN SAFA.. by the way ni toka lini ndugu wapendanao wameongeza neno INN na kuwa MALINDI INN AKHWAN SAFA?

    ReplyDelete
  2. du ka misupu huyu ndo abass nnayemjua mimi au?mbona kawa mdogo?halafu mbona ka anacheka vile?du hapo naona kakichwa tu masikini,huyu ndo abass pedeshee sifa namna hii haiwezekani,alikua mtu wa karibu na diana aston villa huyu jamaa,sasa naamini cheni iliyopo hapo sijui ataebaki bongo hakyanani.pls usibane comment

    ReplyDelete
  3. Jina ni akhwan safa, ikimaanisha ndugu wapendanao, hapajakuwepo na neno INN ila pia unaweza kusema INNA AKHWAN SAFA ukimaanisha hakika sisi ni ndugu wapendanao, lakin malindi inajulikana kwa jina akhwan safa tu. thank you

    ReplyDelete
  4. Huyu ndo mtoto wa Thierry Henry alozaa Kisimamajongoo nini?

    ReplyDelete
  5. kilakshari a.k.a kakemakenakape upo? Hii ndiyo ile miondoko uipendayo.

    ReplyDelete
  6. TVZ KicartoonApril 01, 2009

    Mimi naapa ni wako, wa daima duniani,
    Shaka mimi sina kwako, hakika nakuamini,
    kulikosa pendo lako, uhai mimi wa nini?,
    duniani peke yako, mwenginewe simuoni.
    Hakika nnakupenda,
    Pendo lisilomithali,
    Hakika I LOVE YOU!

    NADI IKHWAAN SAFAA.

    P.S.
    "ni malindi-iiii peke yake-eeee yenye burudaaaan aaaa, WAKEREKE-EEEE WASOPENDA KUTUOONA!".

    ReplyDelete
  7. jina lao kamili wanaitwa nadi akhwan safaa ni kikundi cha taarab kikongwe hapa zanzibar kimeundwa kama sikosei miaka mia moja na ushee ilopita

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...