Mbunge  wa Viti Maalumu (CCM) kwa  watu wenye ulemavu , Magreth Mkanga, ( kushoto) akimkabidhi Mzee Lazarus Mkwangi, ( kulia) kiasi cha sh: 50,000 kwa ajili ya shughuli za mazishi ya wenzao wawili  waliouwawa na mwenzao wiki ilopita katika kambi yao ya kulea wazee. Kati ni Diwani wa Kata ya Kichangani, Manispaa ya Morogoro, Thomas Kivugo, wakati Mbunge huyo alipotembelea kambini hapo kutoa pole.  Picha na mdau wa mji kasoro bahari John Nditi.
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Oh jamani my dear teacher,Kilaks '00. Mh Mkanga, umefanya vyema.
    Poleni wafiwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...