kocha mkuu wa mabingwa watetezi wa kombe 
la taifa  cup ya mkoa wa ilala jamhuri kihwelo 'julio'
 aongea na globu ya jamii kuhusu maandalizi 
ya kutetea ubingwa wa timu yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 04, 2009

    Haya bwana julio mkuu wa blog ya misifa na kocha unayechonga sana katika ulimwengu wa soka duniani kuliko yeyote, peple soccer they like you! keep it up meibi unaweza ukawa kocha msaidizi wa Taifa stars au kocha Mkuu Future!!

    Mdau North America.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 04, 2009

    mkoa wa iala ni upi huo?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 04, 2009

    Jamhuri tunamuheshimu kaongea vizuri ila yeye ndio kaanza ila je kweli Sumbawanga kuna uchawi? na Michuzi wewe ndio umeongezea chumvi tena Chumvi yako imekolea umesema kama unauhakika je? Kweli Pemba kuna uchawi? tujibu. Michuzi hahaha angalia Blog isije Kupata Vidudu hahaha. Pazi.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 04, 2009

    huyu mtu anaongea siyo mchezo...

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 04, 2009

    Hahaha huyu ndio Mourinho wa Bongo bwana! Welcome back Julio, Naaminia Team yetu ya Ilala tunakamua kama kawa Dozi zetu zile zile goli 10 na si chini ya tano! Ilala aka Simba SC! Yanga wenyewe munajua team ya ilala imekaaje!!!

    ReplyDelete
  6. Ha ahaha aaaaaaaaaa Julio na Michuzi mnawaonea Pemba na Sumbawanga kwa kuongoza uchawi. Mbona Maalbino wanauawa zaidi Shinyanga na Mwanza?

    Ile pointi yake ya "chagua rafiki uliyemzidi" inaingiaje pale, maana kaniacha solemba kabisa

    Siri ya mafanikio yake ni "kutaka sifa" kutoka kwa wachezaji... Kocha mtambo... kaanza interview bila hata kusubiri aulizwe swali, katoa ratiba zake za safari kwanza halafu akatoa summary nzima ya teuzi mpya za wakuu wa wilaya na mikoa ....

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 04, 2009

    unaongea sana Jamhuri,mpe mtu wakati wa kukuuliza maswali.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 04, 2009

    Michuzi uwe unawapa muda wa kujiandaa, mimi uwa naona unaleta mdhaa kwenye utani.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 04, 2009

    Watu waliozaliwa darisalama bwana wana matatizo sana. Huyu ni "victim" tuu wa utoto wa mjini.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 04, 2009

    NOWdayz kila mtu anaongea kama anaRAP(KAma anaimba muziki wa bongoFlava).....anyway labda ndyo maaendeleo yenyewe!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 04, 2009

    hahahaha eti kila mtu anaongea kama ana bongo flava si utani kazi kwelikweli. Wazee wa Vijiwe hawa Uchawi sumbawanga eh na pemba haya michuzi na jamhuri je Mbeya sindiko wanakochuna ngozi au ule uuwaji si uchawi? Mnawaogopa Tanga na bagamoyo eh wasemeni muone kama Michuzi Blog haijaunguwa, Naomba kuuliza Mkoa wa Iala ni upi? au kama ni Ilala je ni Mkoa? kuuliza si ujinga naombeni mnikosee au mnifahamishe. Mahela.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 05, 2009

    Wewe Jamhuri unaongelea swala la makocha kuwapenda wachezaji wakati wewe ndio unaongoza kubagua wachezaji na majungu tuu. Kwa taarifa yako nimeshafundishwa na wewe huna kitu kazi majungu tu na kubagua wachezaji. Na wewe Anony unaeongelea kuwa huyu kichaa apewe Timu ya taifa unaonekana huna akili. Wote bure au mlikuwa mnavuta bangi wote kule Mchikichini??

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 05, 2009

    Mi nauliza? Hivi hawa watu wa Bongo wanalewa 24/7. Kila mtu anayehojiwa mimacho hiyo! kwa pombe jamani wadau hii imekaaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...