kocha mkuu wa mabingwa watetezi wa kombe
la taifa cup ya mkoa wa ilala jamhuri kihwelo 'julio'
aongea na globu ya jamii kuhusu maandalizi
ya kutetea ubingwa wa timu yake
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya bwana julio mkuu wa blog ya misifa na kocha unayechonga sana katika ulimwengu wa soka duniani kuliko yeyote, peple soccer they like you! keep it up meibi unaweza ukawa kocha msaidizi wa Taifa stars au kocha Mkuu Future!!
ReplyDeleteMdau North America.
mkoa wa iala ni upi huo?
ReplyDeleteJamhuri tunamuheshimu kaongea vizuri ila yeye ndio kaanza ila je kweli Sumbawanga kuna uchawi? na Michuzi wewe ndio umeongezea chumvi tena Chumvi yako imekolea umesema kama unauhakika je? Kweli Pemba kuna uchawi? tujibu. Michuzi hahaha angalia Blog isije Kupata Vidudu hahaha. Pazi.
ReplyDeletehuyu mtu anaongea siyo mchezo...
ReplyDeleteHahaha huyu ndio Mourinho wa Bongo bwana! Welcome back Julio, Naaminia Team yetu ya Ilala tunakamua kama kawa Dozi zetu zile zile goli 10 na si chini ya tano! Ilala aka Simba SC! Yanga wenyewe munajua team ya ilala imekaaje!!!
ReplyDeleteHa ahaha aaaaaaaaaa Julio na Michuzi mnawaonea Pemba na Sumbawanga kwa kuongoza uchawi. Mbona Maalbino wanauawa zaidi Shinyanga na Mwanza?
ReplyDeleteIle pointi yake ya "chagua rafiki uliyemzidi" inaingiaje pale, maana kaniacha solemba kabisa
Siri ya mafanikio yake ni "kutaka sifa" kutoka kwa wachezaji... Kocha mtambo... kaanza interview bila hata kusubiri aulizwe swali, katoa ratiba zake za safari kwanza halafu akatoa summary nzima ya teuzi mpya za wakuu wa wilaya na mikoa ....
unaongea sana Jamhuri,mpe mtu wakati wa kukuuliza maswali.
ReplyDeleteMichuzi uwe unawapa muda wa kujiandaa, mimi uwa naona unaleta mdhaa kwenye utani.
ReplyDeleteWatu waliozaliwa darisalama bwana wana matatizo sana. Huyu ni "victim" tuu wa utoto wa mjini.
ReplyDeleteNOWdayz kila mtu anaongea kama anaRAP(KAma anaimba muziki wa bongoFlava).....anyway labda ndyo maaendeleo yenyewe!!
ReplyDeletehahahaha eti kila mtu anaongea kama ana bongo flava si utani kazi kwelikweli. Wazee wa Vijiwe hawa Uchawi sumbawanga eh na pemba haya michuzi na jamhuri je Mbeya sindiko wanakochuna ngozi au ule uuwaji si uchawi? Mnawaogopa Tanga na bagamoyo eh wasemeni muone kama Michuzi Blog haijaunguwa, Naomba kuuliza Mkoa wa Iala ni upi? au kama ni Ilala je ni Mkoa? kuuliza si ujinga naombeni mnikosee au mnifahamishe. Mahela.
ReplyDeleteWewe Jamhuri unaongelea swala la makocha kuwapenda wachezaji wakati wewe ndio unaongoza kubagua wachezaji na majungu tuu. Kwa taarifa yako nimeshafundishwa na wewe huna kitu kazi majungu tu na kubagua wachezaji. Na wewe Anony unaeongelea kuwa huyu kichaa apewe Timu ya taifa unaonekana huna akili. Wote bure au mlikuwa mnavuta bangi wote kule Mchikichini??
ReplyDeleteMi nauliza? Hivi hawa watu wa Bongo wanalewa 24/7. Kila mtu anayehojiwa mimacho hiyo! kwa pombe jamani wadau hii imekaaje?
ReplyDelete