Rais Gloria Macapagal-Arroyo wa Philippines akipeana mkono na Mh. Balozi Abdul Cisco Mtiro baada ya kukabidi hati zake za utambulisho kama Balozi wa Tanzania ambaye anawakilisha Philippines katika Ikulu ya Phillipines hivi karibuni. Balozi Cisco  pia anawakilisha Malaysia, Singapore, Laos, Cambodia na Philippines akiwa na Ofisi Nchini Malaysia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 17, 2009

    huyu abdul mtiro nilikuwa na msikia sana wakati anacheza mpira timu ya yanga mpk sasa hivi balozi.

    mrisho ngasa,tegete igeni mifano kama ya mwenzenu

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 17, 2009

    Sasa balozi mmoja nchi zote hizoinakuwaje?Isitoshe hata haieleweki atakuwa anatembelea au kutumaujumbe nchi nyingine zinazo muhusu marangapi?Mfano kwa wale ambao wako USSR ya zamani kunaubalozi mmoja tu ambao uko moscow Tangu Mimi nifike haba Belarusi sijawahi kujua balozi wahuku yukoje ni mwaka wa pili huu.Naamini na nina uhakika kuwa huyu Mtiro hataweza kutoa huduma katika nchizote tajwa.{Mdau USSR ya zamani}.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 17, 2009

    kwakeli nivigumu sana kumchallenge mtu kama rais na challenge yako ikapata support,inakuwa mtu mmoja awe na uwezo wa kuendendesha balozi nne,huuu ukisikia ni udiktater do huo.hawaezi kumdu kazi zote hizo.na yote hayo kwakuwa ni lafiki yake na rais anapewa majukum yote hayo.hapo inaonekana kana kwamba serikali in save ghalama,kumber ndo inapoteza pesa kwa huduma zaifu ya mtu mmoja kupewa majukum ambayo hawazi yote kuya solve.lazima viongozi wawe na mwamko siyo kupanga mambo wao wanavyotaka,hapa rais ukpo wrong.ukifuatilia huyu mtu lazima anapata mshahala wa mabalozi wale wange wekwa kweny post hizo.maajabu ya kushangaza.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 17, 2009

    Wadau mlio na shaka na uwezo wa balozi mmoja kuhudumia nchi kibao msiwe na shaka. JK atakuwepo beneti.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 17, 2009

    Balozi anaweza kuwa anawakilisha nchi hata 100 kila nchi inategemea na umuhimu wake kwa TAnzania kuna sehemu anapelekwa kwa ajili ya Biashara tuu kuna sehemu mtu anakwenda kama kikitokea kitu ndio atawajibika sio shule ile kwamba kila siku anapitisha daftari la majina ebooo!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 18, 2009

    majina mengine???

    aya balozi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...