

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyu abdul mtiro nilikuwa na msikia sana wakati anacheza mpira timu ya yanga mpk sasa hivi balozi.
ReplyDeletemrisho ngasa,tegete igeni mifano kama ya mwenzenu
Sasa balozi mmoja nchi zote hizoinakuwaje?Isitoshe hata haieleweki atakuwa anatembelea au kutumaujumbe nchi nyingine zinazo muhusu marangapi?Mfano kwa wale ambao wako USSR ya zamani kunaubalozi mmoja tu ambao uko moscow Tangu Mimi nifike haba Belarusi sijawahi kujua balozi wahuku yukoje ni mwaka wa pili huu.Naamini na nina uhakika kuwa huyu Mtiro hataweza kutoa huduma katika nchizote tajwa.{Mdau USSR ya zamani}.
ReplyDeletekwakeli nivigumu sana kumchallenge mtu kama rais na challenge yako ikapata support,inakuwa mtu mmoja awe na uwezo wa kuendendesha balozi nne,huuu ukisikia ni udiktater do huo.hawaezi kumdu kazi zote hizo.na yote hayo kwakuwa ni lafiki yake na rais anapewa majukum yote hayo.hapo inaonekana kana kwamba serikali in save ghalama,kumber ndo inapoteza pesa kwa huduma zaifu ya mtu mmoja kupewa majukum ambayo hawazi yote kuya solve.lazima viongozi wawe na mwamko siyo kupanga mambo wao wanavyotaka,hapa rais ukpo wrong.ukifuatilia huyu mtu lazima anapata mshahala wa mabalozi wale wange wekwa kweny post hizo.maajabu ya kushangaza.
ReplyDeleteWadau mlio na shaka na uwezo wa balozi mmoja kuhudumia nchi kibao msiwe na shaka. JK atakuwepo beneti.
ReplyDeleteBalozi anaweza kuwa anawakilisha nchi hata 100 kila nchi inategemea na umuhimu wake kwa TAnzania kuna sehemu anapelekwa kwa ajili ya Biashara tuu kuna sehemu mtu anakwenda kama kikitokea kitu ndio atawajibika sio shule ile kwamba kila siku anapitisha daftari la majina ebooo!!
ReplyDeletemajina mengine???
ReplyDeleteaya balozi