

Kaka Michuzi, Nikiwa mdau wa globu hii ya jamii nakubali ni globu inayotembelewa na watu wengi zaidi.. shukrani kwa jitihada zako binafsi.
Sasa Bro, naomba unisaidie kuwakilisha kwa wadau wa globu hii kuwa nauza kale ka gari kangu nilikonunua ili kuvinjali wakati wa kajivekesheni kangu hapa bongo..nnakauza kabla ya tarehe 15 july 2009.
Ni Daihatsu Terios ya Mwaka 2001, cc 691, yaani inakula wese kama bajaj vile. Tena ina 4WD, na nimetumia kwa muda mfupi toka lije direct toka Japan. Bei yake ni 8.0 Million Fixed na Cash/Bank transfer kwani ina include kodi zote, Comprehensive Insurance coverage na kila kitu na pia It's discounted rate.
Serious person anipigie.
0754 373 447
Samahani kidogo,
mlango kwa madalali umefungwa.
Michu,
ReplyDeleteInabidi uanzishe link ya Classified ads kwa wadau kama hawa kutangaza biashara zao. Make sure you charge them at least $ 10 kwa mwezi.
Naona kila siku tunaletewa matangazo humu ya kununua nyumba au magari au mashine za hospitali. Inabidi uanze kufikiria kama Capitalist na sio Mjamaa.
Misupu
ReplyDeleteNakubaliana na jamaa hapo juu, if you are too busy mpe maarifa bwana mdogo aanze Classified ads or Motor Mart na aanze kukusanya njugu
Wakatabahu
KATUPE UKO NAYO HIYO GARI!!
ReplyDeleteHii gari spare zake ziko gerezani k/koo au bado?
ReplyDeleteTatizo spare part zipoooooooooo
ReplyDeletespare???
ReplyDeleteAC,CD,PW,AL,WA,RS nk
vipi weweee