kwa mbele
kwa nyuma
injini
Kaka Michuzi, Nikiwa mdau wa globu hii ya jamii nakubali ni globu inayotembelewa na watu wengi zaidi.. shukrani kwa jitihada zako binafsi.
Sasa Bro, naomba unisaidie kuwakilisha kwa wadau wa globu hii kuwa nauza kale ka gari kangu nilikonunua ili kuvinjali wakati wa kajivekesheni kangu hapa bongo..nnakauza kabla ya tarehe 15 july 2009.
Ni Daihatsu Terios ya Mwaka 2001, cc 691, yaani inakula wese kama bajaj vile. Tena ina 4WD, na nimetumia kwa muda mfupi toka lije direct toka Japan. Bei yake ni 8.0 Million Fixed na Cash/Bank transfer kwani ina include kodi zote, Comprehensive Insurance coverage na kila kitu na pia It's discounted rate.
Serious person anipigie.
0754 373 447
Samahani kidogo,
mlango kwa madalali umefungwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2009

    Michu,
    Inabidi uanzishe link ya Classified ads kwa wadau kama hawa kutangaza biashara zao. Make sure you charge them at least $ 10 kwa mwezi.

    Naona kila siku tunaletewa matangazo humu ya kununua nyumba au magari au mashine za hospitali. Inabidi uanze kufikiria kama Capitalist na sio Mjamaa.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2009

    Misupu
    Nakubaliana na jamaa hapo juu, if you are too busy mpe maarifa bwana mdogo aanze Classified ads or Motor Mart na aanze kukusanya njugu
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 07, 2009

    KATUPE UKO NAYO HIYO GARI!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2009

    Hii gari spare zake ziko gerezani k/koo au bado?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2009

    Tatizo spare part zipoooooooooo

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 08, 2009

    spare???

    AC,CD,PW,AL,WA,RS nk

    vipi weweee

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...