Home
Unlabelled
ligi ya netiboli ya wanaume zenji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pamoja na pongezi kwa akina baba hao, wasiwasi wangu ni kuwa, nini kinafuata baada ya hapo, je kuna utaratibu wa kufuzu katika hatua nyingine, labda Kombe la muungano, afrika mashariki,au afrika, Dunia nk..Pia kwanini waamuzi wasiwe wanaume?
ReplyDeleteNilikuwa naishusha peji chini taratibu kuona kama wamevaa sketi!
ReplyDeletekha! hizi njemba vipi?
ReplyDeleteKAZİİ KWELİ KWELİ :))))
ReplyDeleteZanzibar njema! atakaye aje!
ReplyDeletenetball ya wanaume.....HELL TO THE NO!
ReplyDeleteMh! haya kina yakhe! jamani wapeni ile american football wapigane vikumbo au basketball nini jamaniiiiiii?
ReplyDeleteKWA WALE NDUGU ZANGU WA MAKAO MAKUU HAWA KINA KAKA WANASIFA ZOTE ZA WALE WENZETU PALE DUPONT CIRCLE.
ReplyDeleteHEBU TUMIENI MUDA WENU KUWATAZAMA
VIZURI ZAIDI SANA SANA YULE MWENYE JEZI YA KIJANI(GD) NA POZO LA MWENZIE (WD).WADAU HII IMEKAAJE?
mdau wa Tue Jul 07, 05:39:00 AM ingawa unatusema sisi akina yakhe, napenda kukujulisha kwanza kuwa mchezo huo wa netiboli ya wanaume bongo nako umeshitadi, pia hapa zanzibar takriban asilimia 95% ya wachezaji wa netiboli wa kiume ni kutoka tanzania bara na kwa mashemegi zao ambao wanaishi hapa visiwani.
ReplyDeletewazanzibari bado tunawasiwasi kwa kila anaecheza netiboli hii.
Mimi nadhani kuwa mchezo wa netball sio kwa wanawake tu; naona nchi kama New Zealand wanacheza watu wa jinsia zote. naomba kusahihishwa kama nimekosea!
ReplyDeleteMie Nataka Tu Kujua Je Akifunga Goli Anashangilia Sawa Sawa Na Wasichana Kidole Cha Mwisho Juu???
ReplyDelete