mojawapo ya mechi ya netiboli ya wanaume katika ligi ya taifa hivi karibuni uwanja wa gymkhana zenji. netiboli ya wanaume ni mchezo unaokua kwa kasi na kinababa wameonesha kuumudu vyema mchezo huu



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. www.tanzaniasports.comJuly 06, 2009

    Pamoja na pongezi kwa akina baba hao, wasiwasi wangu ni kuwa, nini kinafuata baada ya hapo, je kuna utaratibu wa kufuzu katika hatua nyingine, labda Kombe la muungano, afrika mashariki,au afrika, Dunia nk..Pia kwanini waamuzi wasiwe wanaume?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2009

    Nilikuwa naishusha peji chini taratibu kuona kama wamevaa sketi!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2009

    kha! hizi njemba vipi?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 07, 2009

    KAZİİ KWELİ KWELİ :))))

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 07, 2009

    Zanzibar njema! atakaye aje!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 07, 2009

    netball ya wanaume.....HELL TO THE NO!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 07, 2009

    Mh! haya kina yakhe! jamani wapeni ile american football wapigane vikumbo au basketball nini jamaniiiiiii?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 07, 2009

    KWA WALE NDUGU ZANGU WA MAKAO MAKUU HAWA KINA KAKA WANASIFA ZOTE ZA WALE WENZETU PALE DUPONT CIRCLE.
    HEBU TUMIENI MUDA WENU KUWATAZAMA
    VIZURI ZAIDI SANA SANA YULE MWENYE JEZI YA KIJANI(GD) NA POZO LA MWENZIE (WD).WADAU HII IMEKAAJE?

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 07, 2009

    mdau wa Tue Jul 07, 05:39:00 AM ingawa unatusema sisi akina yakhe, napenda kukujulisha kwanza kuwa mchezo huo wa netiboli ya wanaume bongo nako umeshitadi, pia hapa zanzibar takriban asilimia 95% ya wachezaji wa netiboli wa kiume ni kutoka tanzania bara na kwa mashemegi zao ambao wanaishi hapa visiwani.

    wazanzibari bado tunawasiwasi kwa kila anaecheza netiboli hii.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 07, 2009

    Mimi nadhani kuwa mchezo wa netball sio kwa wanawake tu; naona nchi kama New Zealand wanacheza watu wa jinsia zote. naomba kusahihishwa kama nimekosea!

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 07, 2009

    Mie Nataka Tu Kujua Je Akifunga Goli Anashangilia Sawa Sawa Na Wasichana Kidole Cha Mwisho Juu???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...