Home
Unlabelled
mbilia bel kutumbuiza na king kikii leo police officers mess
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
pajazzzzzz!!!! sema sasa keshazeeka huyu!! ukiapply ile banzaushuntame starehe yako yaweza kukupeleka polisi bure!!! ila katerero mwake haiwezi mletea madhara.
ReplyDeleteAhsante kaka michuzi kwa tangazo!
Still hot!!!!!!!!!!! Go Bel
ReplyDeleteHIVI BAADA YA ILE NDOA YAKE YA MKATABA NA TABU LEY ALIOLEWA NA NANI AU ALIKUA WAPI.
ReplyDeletehongera mbilia kwa ku take care of yourself. i wish i were there ninge fanya bidii mpaka nije kwenye hiyo show yake. i wish you all the best. michuzi asante sana kwa kutuletea hii habari.
ReplyDelete10,000 tu kumwona celebrity huyu? kumbe nyie wasanii wa bongo mnatulangua mkija huku. Duh
ReplyDeleteTZS 10,000 BONGO NI PESA YA MAANA HIYO,KUIPATA INABIDI UJIKUNJE SANA AU UWE NA KIKAZI CHA MAANA.
ReplyDelete