mwimbaji wa kutoka congo kinshasa mbilia bel akiwa katika moja ya shoo zake. leo atakuwa police officers mess oysterbay jijini dar akishirikiana na king kikii na kundi lake la wazee sugu. dau mlangoni ni 10,000/- kwa kichwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2009

    pajazzzzzz!!!! sema sasa keshazeeka huyu!! ukiapply ile banzaushuntame starehe yako yaweza kukupeleka polisi bure!!! ila katerero mwake haiwezi mletea madhara.
    Ahsante kaka michuzi kwa tangazo!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2009

    Still hot!!!!!!!!!!! Go Bel

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 04, 2009

    HIVI BAADA YA ILE NDOA YAKE YA MKATABA NA TABU LEY ALIOLEWA NA NANI AU ALIKUA WAPI.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 04, 2009

    hongera mbilia kwa ku take care of yourself. i wish i were there ninge fanya bidii mpaka nije kwenye hiyo show yake. i wish you all the best. michuzi asante sana kwa kutuletea hii habari.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 04, 2009

    10,000 tu kumwona celebrity huyu? kumbe nyie wasanii wa bongo mnatulangua mkija huku. Duh

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 06, 2009

    TZS 10,000 BONGO NI PESA YA MAANA HIYO,KUIPATA INABIDI UJIKUNJE SANA AU UWE NA KIKAZI CHA MAANA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...