Home
Unlabelled
vodacom foundation yamwaga madawati 400 kwa shule za msingi dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waosha vinywa mbona mko kimya? Mnapenda mno mambo ya kizushi. Mtu akifanya kitu cha kweli, midomo mnajaza maji ya chumvi. Hongera Vodacom kwa jitihada zenu. Madawati hayo yanaweza yakawaletea IT managers wazuri in the future. Inawezekana kuwa sio sponsors wote wanapata chance kuwekwa kwa Supu, ila wale wasiofanya inabidi waige mifano hiyo mizuri.
ReplyDeleteBlackmpingo
Picha ya pili bado kidogo initoe machozi! Nimeangalia sura za watoto wetu hawa na kujiuliza maswali mengi.
ReplyDeleteSwali kubwa wakati naangalia sura za hawa watoto wetU ni future yao itakuwaje? Nimeona kuna uwezekano mmoja wao akawa daktari hapo, mwanasheria, mwanasiasa na mfanyabiashara.
Lakini swali lingine kubwa ni how these kids watakavyopata hiyo bright future?
I hope wanasiasa na wananchi watajiuliza haya maswali na kuhakikisha kuwa tunafanya kazi kwa bidii na kujenga Taifa letu kwa pamoja.
Mungu ibariki Tanzania.
hii shule ya msingi uwanja wa ndege ni tofauti na ile shule ya msingi Kipawa ?
ReplyDeleteVodacom good job.
ReplyDeleteKazi nzuri Voda walao mnaonyesha jinsi mnavyotujali baada ya kutunyofolea vishilingi vyetu kwa kulonga masaa 24! Lakini kikubwa nimebaki mdomo wazi na kushindwa kuelewa nchi yetu inakwenda wapi. JK na mawaziri wake wamekuwa wakitamba jinsi walivyoboresha elimu! sasa hii ni shule ya uwanja wa ndege (bila shaka wa Mwalimu JKN), mwaka 2009, darasa halina madawati! Je, vifaa vingine viko katika hali gani? je huko Kantalamba si ndio watakuwa hawana hata hicho chumba!!! Mwaka kesho watajipitisha (wameishaanza kufagiliana) kuomba kura ili waendelee kutawala! Ili wafanye nini?
ReplyDeletekwa kweli tungekuwa na vodacom kama tatu nne hivi basi watu wangeneemeka.vodacom mnaongoza kwa kutoa misaada everywhere , sio tu kwa sababu michuzi anawarusha bali nafuatilia na vyombo vingine vya habari kwa upande wangu naona mpo juu
ReplyDeletecha muhimu mmsisite kuendelea.
Wadau samahani sana maana mimi hapa hata hayo madawati siyaoni... namuona Mwamvita tu mmmhhhh!! ....''nitalipataje tunda lalaaaaa...
ReplyDelete