
FAMILIA YA KAHEMA TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MAMA YETU MPENDWA MAMA E. KAHEMA (PICHANI) KILICHOTOKEA GHAFLA SIKU ALHAMISI YA TAREHE 08/10/09 MAENEO YA MANZESE AKIWA ANAENDESHA GARI YAKE AKIELEKEA KWENYE SHEREHE YA HARUSI.
MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU CHANG'OMBE MADUKA MAWILI.MUNGU AILAZE PEMA ROHO YA MAREHEMU MAMA YETU-AMIN
Bonnie and you family poleni sana...Mungu awaguse katika kipindi hiki kigumu
ReplyDeletePoleni sana wafiwa wote hasa familia ya marehemu. Najua ilivyo vigumu kumpoteza Mama. Mungu awatie nguvu. Eugenia.
ReplyDeleteAkiwa anaendesha gari yake unamaanisha nini? Heart attack ama accident? R.I.P mama!
ReplyDeletemaskini bonny pole sana kwa pigo hilo kubwa mno..ni mapenzi tu ya mungu.
ReplyDeleteRIP - was she the mother of Jo Kahema Mwita? My condolences to the families...
ReplyDeletePoleni sana wafiwa. Samahani huyu ni mama Bonnie waliyekuwa anaishi Kurasini ana mdogo wake anaitwa Rhoda or we use to call her mama mdogo Rhoda?
ReplyDeleteRIP mum,wil always remeber you
ReplyDeleteAngel
Its one year since to date a light from our family has gone, A voice we loved is still here, A place is vacant in our home, No-one can ever fill, The blow was hard, the shock severe to part with one we loved so dear, Our loss is great, we'll not complain But trust in God to meet again God saw you getting weary And did what He thought best, He put His arms around you, And took you home to rest. Your love for your family true You did your best for all of us we will always remember you.
ReplyDelete