Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 34 mpaka sasa

  1. MZEE NAOMBA UNIPATIE ANUANI YA KANISA HILI MAANA! UTOAJI SADAKA UNAAMBATANA NA KURUSHA VIUNGO!

    ReplyDelete
  2. Duh yaani kumbe John Mashaka anajua kucheza namna hii? ndiyo maana mademu wote wanamtaka kumbe

    ReplyDelete
  3. SASA FANI IMEINGILIWA HADI NYUMBA ZA IBADA MAANA HIKO KIBURUDISHO KINAKUWEZESHA KUTOA KDG ULICHONACHO SI KWA IMANI BALI AKILI KUMKICHWA

    ReplyDelete
  4. do kweli dunia ni uwanja wa fujo

    ReplyDelete
  5. 'SHUZI LIMEPATA MJAMBAJI'.
    Mdau

    Udachi.

    ReplyDelete
  6. kweli dunia ni uwanja wa fujo!

    ReplyDelete
  7. Hakuna Yesu hapo

    ReplyDelete
  8. Haiwezekani ikawa sadaka ya kanisani hiyo, lazima nimichango fulani labda yakujenga shule au kuzindua kikundi cha kucheza sebene cha kijiji fulani hv. Dooooohhhhhhhh!!!!!!!

    Kwakweli hapa nilipo sina mbavu. Joti angesema, kudadadadadadadadadeeeki!

    ReplyDelete
  9. Hahah! Du! Bro mithupu hii kali..safi!!!

    ReplyDelete
  10. sijui jamaa alikuwa amelewa au ni mzuka tu ulimpanda? kama ni kanisa la kukata viuno basi tena maana hana tofauti na supa nyamwela hata mavazi waliyovaa waumini ni ya akina aisha madinda

    ReplyDelete
  11. Duuh! Ya Leo Kali! Jamaa naona mkali sana wa kucheza. Amenifurahisha sana.

    ReplyDelete
  12. KWELI DUNIA UWANJA WA FUJO HII YA LEO KALI KULIKO

    JAMAA ANATOA SADAKA HUKU ANAPIGA MBIZI KAMA YUPO BEACH KAAAZI KWELI KWELI

    BAHATI YAKE HUYO DADA ALIEKATIZA MBELE WAKATI JAMAA ANARUKA MBIZI MAANA ANGEMKUTA INGEKUWA HATARI KUBWA

    SASA WAJEMENI HII MICHANGO YA MAKANISA KWA NJIA KAMA HIZO KWELI HAPO KUNA YETHUUU?

    DUNIA INAZIDI VITUKO SIKU HADI SIKU HUKO TUNAPOENDA PANAPO MAJAALIWA YA UHAI NAONA TUTAONA MENGI

    HAYA KAMA WASEMAVYO WAHENGA DUNIA RANGI RANGILE UTAJIONEA MENGI.

    mdau uholanzi napitisha usemi kidogo.

    ReplyDelete
  13. viungo vyote vina haki ya kumtukuza Mungu. acheni viungo vyote vimtukuze Mungu. msivinyime baadhi haki yake ya kumsifu Mungu aliyewaumba.

    ReplyDelete
  14. Kucheza kwa Yesu hakuna kosa eeenhee hakuna, kucheza kwa yesu hakuna kosa lolote, Hakuna, Cheza, enhee, cheza, cheza mpaka chini

    ReplyDelete
  15. Kama hivi ndio kanisa utulivu umepotea hata yesu atamuomba aliyemuumba awasamehe hawa watu kwenye ibada na Sadaka zinatolewa kwa utulivu.

    ReplyDelete
  16. jitahidi kuangalia sana mwishoni jamaa katoa sign ya kidole yaani noma

    ReplyDelete
  17. nekutiyo thatha hii ni kali kweli. Thatha mdhee naona fani imeingiliwa!!

    ReplyDelete
  18. Mi wasiwasi wangu ni kama kweli alitoa sadaka au alinyakua sadaka maana inaelekea ni mjanja mjanja! may be camera ilimtia soni!

    ReplyDelete
  19. Kweli hiki kitu kinachoitwa pesa! am telling you its unbelivable. thanx michuthi

    ReplyDelete
  20. Mwanzo nilidhani huyu bwana anataka kuiba sadaka. Alivoanza sebene.... Nashindwa kucheka wala kufikiri nimeduwaa tu hapa narudia rudia kuitazama.

    Asante mkuu.

    ReplyDelete
  21. Oooh my God! jamaa utakuta mbembwe zote hizo sadaka sh.100. Mana kachanga mambo ya jacko, break dance and ndombolo ya solo.Dear Lord watu wote wangekupenda wewe kama huyo kijana si dhambi zingeisha? This made my day,LOL.

    ReplyDelete
  22. yaani, mimi ni mkristu lakini sikubaliani na hiyo kitu, huo ni wizi mtupu hakuna kitu kama hicho, hapo hamna kucheza kwa yesu wala nini ni usanii tu ili waugwana watoe sadaka, WIZI MTUPU hamna tofauti na DECI ama Madoff na Ponzi scheme.

    tuamke jamani, manabii wa uwongo wamezidi

    ReplyDelete
  23. Kweli jamaa kaonyesha finger hapo mwisho sijui anamaanisha kumtukana mwenye Camera kwamba anamuwekea kauzibe? Lakini mimi sijui kama yesu alifundisha haya mambo kweli jamani, tujaribu kufuata mambo ambayo Yesu alifundisha kama kweli ni wafuasi.

    ReplyDelete
  24. MDAU WA UHOLANZI NIMERUDI TENA KWA MARA YA PILI MAANA KILA NIKIANGALIA HII YA LEO SICHOKI KUIRUDIA

    WADAU TUNAKUOMBA MKUU WA KITONGOJI YA NANIHII UCHELEWESHE KUBADILI HII VIDEO YANI UIWACHE KWA MUDA ILI IENDELEZE LIBENEKE LA KUCHEKESHA

    KWANI IMEPENDEZA SANA KAKA DAH SIO MCHEZO HUYU KIUMBE KWELI KIBOKO SASA ALIPOJIANGUSHA HAKUANGALIA NYUMA SI BALAA JAMANI??

    ReplyDelete
  25. Ndo maana Yesu atarudi kupambana na manabii wauongo.

    Makanisa hyana mwelekeo tokea Bible ilipo chafuliwa, hawajui wamwabudu vipi Mungu

    ReplyDelete
  26. Na siajabu shughuli yote hiyo katoa shilingi mia tu, nyama zake!

    ReplyDelete
  27. kushangaa usanii kanisani ni sawa na kushangaa ndizi bukoba

    ReplyDelete
  28. Anonymous wa Fri Oct 09, 01:33:00 PM, busara yako ina mashaka
    Viungo vyote vimsifu mungu? kuna siku watu ps na dk vitawekwa hadharani kumsifu mungu.
    Acheni kumfanyia ujinga mungu ukiamini unamsifu-Nosensi

    Anony Fri Oct 09, 10:20:00 PM, you ar jiniaz. I like that
    utukuzwe milele

    ReplyDelete
  29. Huyu ni mbongo na kwasasa yuko USA>
    namjua huyu jamaa ila nasita kutaja jina lake.
    Utitili wa makanisa unazaa makanisa vichaa na waumini wa kihivyo

    ReplyDelete
  30. Hapo kazi ipo .....nadhani jamaa alikuwa amelewa ulanzi

    ReplyDelete
  31. mi nadhani waumini hawa walikuwa katika tribute ya michael jackson kule kijijini kwao stino mubi huko congo.makeke kama hayo ni ya kawaida sana kiasi kwamba hata waalimu wa shule ya msingi hutumia style kama hizi kufundushia na kupata full 'atensheni' kutoka kwa 'ze wanafunzi'

    ReplyDelete
  32. KASWIZA BAKARIOctober 10, 2009

    MICHUZI HUU MCHEZO WA KUCHEZA NGOMA KANISANI NANI KAKUFUNDISHA, TENA NAONA UKO NA THE FULANAZZZ, UNAKATIKA MWENYEWE UTAZANI HAKUNA KESHO. MBONA KINJE HAONEKANI?

    ReplyDelete
  33. KADATA HUYO MAKANISANI KUNA MACHIZI KIBAO WENGINE WANAPANDISHA MASHETANI WANASEMA YESU ANAKUJA AMKENI ACHENI UJINGA KUMBUKENI TUPO 2009

    ReplyDelete
  34. "THE LORD GIVETH TO A CHEERY GIVER!" Atabarikiwa sana!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...