Home
Unlabelled
sadaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MZEE NAOMBA UNIPATIE ANUANI YA KANISA HILI MAANA! UTOAJI SADAKA UNAAMBATANA NA KURUSHA VIUNGO!
ReplyDeleteDuh yaani kumbe John Mashaka anajua kucheza namna hii? ndiyo maana mademu wote wanamtaka kumbe
ReplyDeleteSASA FANI IMEINGILIWA HADI NYUMBA ZA IBADA MAANA HIKO KIBURUDISHO KINAKUWEZESHA KUTOA KDG ULICHONACHO SI KWA IMANI BALI AKILI KUMKICHWA
ReplyDeletedo kweli dunia ni uwanja wa fujo
ReplyDelete'SHUZI LIMEPATA MJAMBAJI'.
ReplyDeleteMdau
Udachi.
kweli dunia ni uwanja wa fujo!
ReplyDeleteHakuna Yesu hapo
ReplyDeleteHaiwezekani ikawa sadaka ya kanisani hiyo, lazima nimichango fulani labda yakujenga shule au kuzindua kikundi cha kucheza sebene cha kijiji fulani hv. Dooooohhhhhhhh!!!!!!!
ReplyDeleteKwakweli hapa nilipo sina mbavu. Joti angesema, kudadadadadadadadadeeeki!
Hahah! Du! Bro mithupu hii kali..safi!!!
ReplyDeletesijui jamaa alikuwa amelewa au ni mzuka tu ulimpanda? kama ni kanisa la kukata viuno basi tena maana hana tofauti na supa nyamwela hata mavazi waliyovaa waumini ni ya akina aisha madinda
ReplyDeleteDuuh! Ya Leo Kali! Jamaa naona mkali sana wa kucheza. Amenifurahisha sana.
ReplyDeleteKWELI DUNIA UWANJA WA FUJO HII YA LEO KALI KULIKO
ReplyDeleteJAMAA ANATOA SADAKA HUKU ANAPIGA MBIZI KAMA YUPO BEACH KAAAZI KWELI KWELI
BAHATI YAKE HUYO DADA ALIEKATIZA MBELE WAKATI JAMAA ANARUKA MBIZI MAANA ANGEMKUTA INGEKUWA HATARI KUBWA
SASA WAJEMENI HII MICHANGO YA MAKANISA KWA NJIA KAMA HIZO KWELI HAPO KUNA YETHUUU?
DUNIA INAZIDI VITUKO SIKU HADI SIKU HUKO TUNAPOENDA PANAPO MAJAALIWA YA UHAI NAONA TUTAONA MENGI
HAYA KAMA WASEMAVYO WAHENGA DUNIA RANGI RANGILE UTAJIONEA MENGI.
mdau uholanzi napitisha usemi kidogo.
viungo vyote vina haki ya kumtukuza Mungu. acheni viungo vyote vimtukuze Mungu. msivinyime baadhi haki yake ya kumsifu Mungu aliyewaumba.
ReplyDeleteKucheza kwa Yesu hakuna kosa eeenhee hakuna, kucheza kwa yesu hakuna kosa lolote, Hakuna, Cheza, enhee, cheza, cheza mpaka chini
ReplyDeleteKama hivi ndio kanisa utulivu umepotea hata yesu atamuomba aliyemuumba awasamehe hawa watu kwenye ibada na Sadaka zinatolewa kwa utulivu.
ReplyDeletejitahidi kuangalia sana mwishoni jamaa katoa sign ya kidole yaani noma
ReplyDeletenekutiyo thatha hii ni kali kweli. Thatha mdhee naona fani imeingiliwa!!
ReplyDeleteMi wasiwasi wangu ni kama kweli alitoa sadaka au alinyakua sadaka maana inaelekea ni mjanja mjanja! may be camera ilimtia soni!
ReplyDeleteKweli hiki kitu kinachoitwa pesa! am telling you its unbelivable. thanx michuthi
ReplyDeleteMwanzo nilidhani huyu bwana anataka kuiba sadaka. Alivoanza sebene.... Nashindwa kucheka wala kufikiri nimeduwaa tu hapa narudia rudia kuitazama.
ReplyDeleteAsante mkuu.
Oooh my God! jamaa utakuta mbembwe zote hizo sadaka sh.100. Mana kachanga mambo ya jacko, break dance and ndombolo ya solo.Dear Lord watu wote wangekupenda wewe kama huyo kijana si dhambi zingeisha? This made my day,LOL.
ReplyDeleteyaani, mimi ni mkristu lakini sikubaliani na hiyo kitu, huo ni wizi mtupu hakuna kitu kama hicho, hapo hamna kucheza kwa yesu wala nini ni usanii tu ili waugwana watoe sadaka, WIZI MTUPU hamna tofauti na DECI ama Madoff na Ponzi scheme.
ReplyDeletetuamke jamani, manabii wa uwongo wamezidi
Kweli jamaa kaonyesha finger hapo mwisho sijui anamaanisha kumtukana mwenye Camera kwamba anamuwekea kauzibe? Lakini mimi sijui kama yesu alifundisha haya mambo kweli jamani, tujaribu kufuata mambo ambayo Yesu alifundisha kama kweli ni wafuasi.
ReplyDeleteMDAU WA UHOLANZI NIMERUDI TENA KWA MARA YA PILI MAANA KILA NIKIANGALIA HII YA LEO SICHOKI KUIRUDIA
ReplyDeleteWADAU TUNAKUOMBA MKUU WA KITONGOJI YA NANIHII UCHELEWESHE KUBADILI HII VIDEO YANI UIWACHE KWA MUDA ILI IENDELEZE LIBENEKE LA KUCHEKESHA
KWANI IMEPENDEZA SANA KAKA DAH SIO MCHEZO HUYU KIUMBE KWELI KIBOKO SASA ALIPOJIANGUSHA HAKUANGALIA NYUMA SI BALAA JAMANI??
Ndo maana Yesu atarudi kupambana na manabii wauongo.
ReplyDeleteMakanisa hyana mwelekeo tokea Bible ilipo chafuliwa, hawajui wamwabudu vipi Mungu
Na siajabu shughuli yote hiyo katoa shilingi mia tu, nyama zake!
ReplyDeletekushangaa usanii kanisani ni sawa na kushangaa ndizi bukoba
ReplyDeleteAnonymous wa Fri Oct 09, 01:33:00 PM, busara yako ina mashaka
ReplyDeleteViungo vyote vimsifu mungu? kuna siku watu ps na dk vitawekwa hadharani kumsifu mungu.
Acheni kumfanyia ujinga mungu ukiamini unamsifu-Nosensi
Anony Fri Oct 09, 10:20:00 PM, you ar jiniaz. I like that
utukuzwe milele
Huyu ni mbongo na kwasasa yuko USA>
ReplyDeletenamjua huyu jamaa ila nasita kutaja jina lake.
Utitili wa makanisa unazaa makanisa vichaa na waumini wa kihivyo
Hapo kazi ipo .....nadhani jamaa alikuwa amelewa ulanzi
ReplyDeletemi nadhani waumini hawa walikuwa katika tribute ya michael jackson kule kijijini kwao stino mubi huko congo.makeke kama hayo ni ya kawaida sana kiasi kwamba hata waalimu wa shule ya msingi hutumia style kama hizi kufundushia na kupata full 'atensheni' kutoka kwa 'ze wanafunzi'
ReplyDeleteMICHUZI HUU MCHEZO WA KUCHEZA NGOMA KANISANI NANI KAKUFUNDISHA, TENA NAONA UKO NA THE FULANAZZZ, UNAKATIKA MWENYEWE UTAZANI HAKUNA KESHO. MBONA KINJE HAONEKANI?
ReplyDeleteKADATA HUYO MAKANISANI KUNA MACHIZI KIBAO WENGINE WANAPANDISHA MASHETANI WANASEMA YESU ANAKUJA AMKENI ACHENI UJINGA KUMBUKENI TUPO 2009
ReplyDelete"THE LORD GIVETH TO A CHEERY GIVER!" Atabarikiwa sana!
ReplyDelete