watani wa jadi wanakumbana kesho kuanzia saa kumi na nusu jioni kwenye wanja jipya la neshno katika mchezo wa pili wa nusu fainali ya kombe la Tusker Cup. Nusu fainali ya kwanza kati ya Sofapaka na Tusker zote za Kenya inapigwa leo kwenye shamba la bibi. Mshindi ataibuka na milioni 40, mshindi wa pili milioni 30 na wa tatu analamba milioni 10.

NATABIRI
ReplyDeleteYANGA ATAFUNGWA BAO ZAIDI YA MBILI(2).
HUU NI UTABIRI NA WALA HAIHUSIANI KABISA NA ITIKADI ZA USHABIKI. KWA FAIDA YA WAOSHA VINYWA, MIMI NI YANGA DAMU ILA KESHO TUNAFUNGWA.
Mpiga Box
Kuna website/radio yoyote ile ambayo tunaweza kuiona/kusikiliza hii game live kwa watu ambao tupo nje ya tanzania
ReplyDeleteSIMBA KAZI YENU KUSHINDA KABLA YA GEMU,LEO JASHO LITAWATOKA GOLI 1 BILA LITAWATOSHA MRUDI MSIMBAZI MKACHAPANE VIBOKO
ReplyDeleteni vizuri mdau wa kwanza umekiri kwamba mnyama huyu atawatafuna kama mboga, that is a very good first step, to acknowledge your shortcomings, too bad krismasi yenu ndo mshaharibiwa tena, anyway si vibaya nikikupeni pole mapema...
ReplyDeleteWadau Classico ya Bongo hiyo tunaikosa yani.
ReplyDelete