Wekundu wa Msimbazi Simba SC.
Vijana wa Jangwani Dar Young Africans FC

watani wa jadi wanakumbana kesho kuanzia saa kumi na nusu jioni kwenye wanja jipya la neshno katika mchezo wa pili wa nusu fainali ya kombe la Tusker Cup. Nusu fainali ya kwanza kati ya Sofapaka na Tusker zote za Kenya inapigwa leo kwenye shamba la bibi. Mshindi ataibuka na milioni 40, mshindi wa pili milioni 30 na wa tatu analamba milioni 10.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. NATABIRI


    YANGA ATAFUNGWA BAO ZAIDI YA MBILI(2).

    HUU NI UTABIRI NA WALA HAIHUSIANI KABISA NA ITIKADI ZA USHABIKI. KWA FAIDA YA WAOSHA VINYWA, MIMI NI YANGA DAMU ILA KESHO TUNAFUNGWA.

    Mpiga Box

    ReplyDelete
  2. Kuna website/radio yoyote ile ambayo tunaweza kuiona/kusikiliza hii game live kwa watu ambao tupo nje ya tanzania

    ReplyDelete
  3. Mdau jangwaniDecember 24, 2009

    SIMBA KAZI YENU KUSHINDA KABLA YA GEMU,LEO JASHO LITAWATOKA GOLI 1 BILA LITAWATOSHA MRUDI MSIMBAZI MKACHAPANE VIBOKO

    ReplyDelete
  4. ni vizuri mdau wa kwanza umekiri kwamba mnyama huyu atawatafuna kama mboga, that is a very good first step, to acknowledge your shortcomings, too bad krismasi yenu ndo mshaharibiwa tena, anyway si vibaya nikikupeni pole mapema...

    ReplyDelete
  5. Wadau Classico ya Bongo hiyo tunaikosa yani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...