mtarajiwa ummy cisco mtiro akiwa na mai hazbendi mtarajiwa wakati wa mnuso wa send off yake ukumbi wa nssf waterfront
ummy akimlisha keki baba yake balozi cisco mtiro huku mama akiangalia
balozi cisco mtiro akitoa wasia kwa bintiye
ummy akiwa na kaka yake ommy, wifiye na mdogo wake




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. mashaalah jamaa kachagua! naomba contact za wifi nami nijaribu!

    ReplyDelete
  2. Mhhh diet muhimu kha !

    ReplyDelete
  3. Balozi Mtiro, nadhani ujiandae tu na harusi nyingine. Huyo mdogo wake Ummy nadhani yuko tayari, well, na mimi nipo tayari.

    ReplyDelete
  4. Mh Cisco!
    Sasa mzee utulivu uchukuwe nafasi yake. Shujaa kaibuka kachukuwa mzigo hivi hiviii. najua wajua kwamba twajua soon utakuwa grand paa kwa umi. Tulia sasa mheshimiwa balozi tuliaaaaaaaaaaa!
    hongera sana kaka uliyempigia Balozi mungu awajaalie maisha matamu sii ya kiaina kama ya Mh balozi

    ReplyDelete
  5. Go Rafa Go!!!Go Banitez Go!!! Pompey 2 0 Liverpool.

    ReplyDelete
  6. Huyo mtoto amefanana na Ummy, je amemzaa kabla hajaolewa?? Mambo hayo jamani!!!

    ReplyDelete
  7. "HONGERA MNAMEREMETA"

    Nawatakia kila la kheri katika maisha yenu ya baadaye.
    Ingawaje mjomba wenu nipo mbali lakini furaha imenijaa moyoni kuwaona mlivyopendeza katika harusi yenu.
    Uncle Mickey Jones
    Denmark

    ReplyDelete
  8. Big fat cows

    ReplyDelete
  9. Mwanetu Ummy, Hongera sana. Wote ndugu zako wanafuraha mno kuona kuwa imekuwa kama kawa. Jioni hii yooote simu zimetukataria, ila tunakuombea kheri na baraka zote. Tunamkaribisha Mkwilima kwa mikono miwili.
    Omar naona tafrija ni kali ya kukata na shoka. See you soon.

    Uncle JK, Ottawa, Canada

    ReplyDelete
  10. Nyie mwenye miili yenu tuambeeni sisi mafurukobe jinsi ya kuloose weight maana wengine tumejeribu hapa na pale bila mafanikio

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...