Home
Unlabelled
ankal na kanumba wakiwa na john mashaka leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huu ndio unaitwa uchokozi
ReplyDeleteWALA SIKUELEWA HATA KIDOGO!
ReplyDeleteUNA MAANA JOHN MASHAKA AU? JOHN DOUBTS..
ReplyDeleteKwa mbali kule nyuma namuona US Blogger na rafiki yake Dr. US Blogger.
ReplyDeleteHUYU BWANA MASHAKA MIMI NAHUSUDU SANA ARTICLE ZAKE SASA NIMEZIKUBALI INABIDI WOTE WADAU NA WAPAMBE WANGU TUMWUNGE MKONO I WAS STUPID AND SELFISH WHEN I DECIDED TO CRITICIZE HIM WITHOUT ANY POINT AT ALL, BUT NOW YOU ARE THE MAN JOHN I M IN YOUR LEGS GO JOHN GO MASHAKA...! ZIDUMU FIKRA ZAKO JM!
ReplyDeletehe he heee leo sina usemi ila mmetoka chichaa sanaaa mko juuu leo wasukutuaji mpoooo US blogger peter nalitolea wa chuo kikuu cha kule mologolo mzumbee
ReplyDeleteHuyu jamaa namwona sana kwenye sinema za kinigeria ila sijui imekuwaje mpaka anakuwa kwenye blog yetu na bongo. anafanya nini huko?
ReplyDeleteyaani mashaka mbona choka mbaya sana,nilitegemea hapo kanumba na mkuu wa wilaya ndio waonekane choka mbaya...hiyo juice nani alilipia?
ReplyDeleteMchuzi taratibu Birauri mbili kwa mpigo!
ReplyDeleteAnkal ulikua umesafiri kwenye Vumbi au you are going gray...teh teh eteh hhhhhh...hawana five minutes miracle huko nini? Twambie tukutumie....
ReplyDeleteAnko nanihii mmh upo fasta naona upo na Glasi mbili ndio kuwa watakumalizia nnini au wewe unakunywa taratibu mpaka round ikajidouble maana naona Kanumba yuko fasta yeye glass nyeupe tayari au Kanumba glass yake imetoboka?
ReplyDeletedu majuu hapa hapa bongo.mbona huyo jmashaka chokest? kanumba umegraduate au ni ushabiki wa kitoto c the future nenda shule kwanza
ReplyDeleteMASHAKA SEMA NENO MOJA TUU ROHO YAANGU ITAPONA LAKIKI KURASA TANO UNANICHANGINYI MYAKO
ReplyDeleteUS BLOGS CRITICS NDIO ZINASABABISHA ANTAGONISTIC MOTION CAMA PEDELI ZA BAISKELI LAZIMA ZIPISAHANE ILI ISONGO TAFADHALI WEWE SIO ULIVYOJISEMA NA USIJIRAHISISHE ILI ULE KIVULINI NA MASHAKA
ReplyDeleteankal tukikwambia weka picha za mia wife wako oooo.. mimi sasa glasi inaonekana mnywaji hayupo, usije sababisha blog ifungwe....
ReplyDeletetehe...tehe....tehe
Picha hii imepigwa na US Blogger.
ReplyDeleteJuisi yake ndio hiyo iko kando ya ankal
Msimsakame Ankal kwa hiyo glasi ya ziada hapo kando. Hio glasi ni ya mpiga picha aliyewapiga picha hao akina Kanumba, Ankal na Mashaka. Nyie wadau vipi? Muwe mnajihoji kwanza kabla ya kupost crap zenu!
ReplyDelete........Kwani ankal akinywa glass mbili kuna ubaya gani... kama kapewa offer zote mbili akatae.... watu bwana...
ReplyDeleteHi!Ankal,umemfaa sana John Mashaka
ReplyDeletekwa kumuazima fulanaz!!!!!!!!!!!
hii mutu ni nyausi sana, usoyake tafikiri ilipigwa kiwi!!.....meru,abiro chwadi omera
ReplyDeletemashala glass imejaa,kanumba kamaliza,ankal inakaribia kwisha
ReplyDeletejaman mpiga picha ndo alikua mkewe ankal ndo mana kuna iyo glass
ankal nimekumissss
Hivi huyo dogo wa sinema za Nigeria ameshaenda english coz?
ReplyDelete