ankal na kanumba the great jioni hii waliamua kumtoa nje john mashaka ambaye yuko vekesheni bongo kwa kumpeleka viwanja vya samaki-samaki mlimani city

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. huu ndio unaitwa uchokozi

    ReplyDelete
  2. WALA SIKUELEWA HATA KIDOGO!

    ReplyDelete
  3. UNA MAANA JOHN MASHAKA AU? JOHN DOUBTS..

    ReplyDelete
  4. Kwa mbali kule nyuma namuona US Blogger na rafiki yake Dr. US Blogger.

    ReplyDelete
  5. HUYU BWANA MASHAKA MIMI NAHUSUDU SANA ARTICLE ZAKE SASA NIMEZIKUBALI INABIDI WOTE WADAU NA WAPAMBE WANGU TUMWUNGE MKONO I WAS STUPID AND SELFISH WHEN I DECIDED TO CRITICIZE HIM WITHOUT ANY POINT AT ALL, BUT NOW YOU ARE THE MAN JOHN I M IN YOUR LEGS GO JOHN GO MASHAKA...! ZIDUMU FIKRA ZAKO JM!

    ReplyDelete
  6. he he heee leo sina usemi ila mmetoka chichaa sanaaa mko juuu leo wasukutuaji mpoooo US blogger peter nalitolea wa chuo kikuu cha kule mologolo mzumbee

    ReplyDelete
  7. Huyu jamaa namwona sana kwenye sinema za kinigeria ila sijui imekuwaje mpaka anakuwa kwenye blog yetu na bongo. anafanya nini huko?

    ReplyDelete
  8. yaani mashaka mbona choka mbaya sana,nilitegemea hapo kanumba na mkuu wa wilaya ndio waonekane choka mbaya...hiyo juice nani alilipia?

    ReplyDelete
  9. Mchuzi taratibu Birauri mbili kwa mpigo!

    ReplyDelete
  10. Ankal ulikua umesafiri kwenye Vumbi au you are going gray...teh teh eteh hhhhhh...hawana five minutes miracle huko nini? Twambie tukutumie....

    ReplyDelete
  11. Anko nanihii mmh upo fasta naona upo na Glasi mbili ndio kuwa watakumalizia nnini au wewe unakunywa taratibu mpaka round ikajidouble maana naona Kanumba yuko fasta yeye glass nyeupe tayari au Kanumba glass yake imetoboka?

    ReplyDelete
  12. du majuu hapa hapa bongo.mbona huyo jmashaka chokest? kanumba umegraduate au ni ushabiki wa kitoto c the future nenda shule kwanza

    ReplyDelete
  13. MASHAKA SEMA NENO MOJA TUU ROHO YAANGU ITAPONA LAKIKI KURASA TANO UNANICHANGINYI MYAKO

    ReplyDelete
  14. US BLOGS CRITICS NDIO ZINASABABISHA ANTAGONISTIC MOTION CAMA PEDELI ZA BAISKELI LAZIMA ZIPISAHANE ILI ISONGO TAFADHALI WEWE SIO ULIVYOJISEMA NA USIJIRAHISISHE ILI ULE KIVULINI NA MASHAKA

    ReplyDelete
  15. ankal tukikwambia weka picha za mia wife wako oooo.. mimi sasa glasi inaonekana mnywaji hayupo, usije sababisha blog ifungwe....
    tehe...tehe....tehe

    ReplyDelete
  16. Say-NO-to-US-BloggerJanuary 12, 2010

    Picha hii imepigwa na US Blogger.
    Juisi yake ndio hiyo iko kando ya ankal

    ReplyDelete
  17. Msimsakame Ankal kwa hiyo glasi ya ziada hapo kando. Hio glasi ni ya mpiga picha aliyewapiga picha hao akina Kanumba, Ankal na Mashaka. Nyie wadau vipi? Muwe mnajihoji kwanza kabla ya kupost crap zenu!

    ReplyDelete
  18. ........Kwani ankal akinywa glass mbili kuna ubaya gani... kama kapewa offer zote mbili akatae.... watu bwana...

    ReplyDelete
  19. Hi!Ankal,umemfaa sana John Mashaka
    kwa kumuazima fulanaz!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  20. hii mutu ni nyausi sana, usoyake tafikiri ilipigwa kiwi!!.....meru,abiro chwadi omera

    ReplyDelete
  21. mashala glass imejaa,kanumba kamaliza,ankal inakaribia kwisha

    jaman mpiga picha ndo alikua mkewe ankal ndo mana kuna iyo glass

    ankal nimekumissss

    ReplyDelete
  22. Hivi huyo dogo wa sinema za Nigeria ameshaenda english coz?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...