Home
Unlabelled
bei ya madafu leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal Michuzi mimi naomba uanzishe mada ya kuuliza wadau wa globu lako wanaandika kutokea wapi?
ReplyDeleteNataka tu nijue watanzania tower la babel limetuangushia wapi? Nimeona Earthquake ya Haiti nikajiuliza hivi kuna mbongo huko kweli...? Kuna vitongoji vingine nimeshafika huku nilipo ni ndani ndani na utafikiria ni wenyeji tu ndio wanaishi huko...mara unaona Indian store...Wahindi walifika na kuweka makazi siku nyingi tu....Sidhani kama kuna nchi ambayo haina kuhindi na mnigeria....Nataka nione exciting and iteresting places ambazo Wabongo tumevunja mipaka.
Kwa mara ya kwanza nimeona euro dollar.. ni pesa ya wapi hiyo???
ReplyDelete