

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama vipi afunge safari europe... finland na sweden tumechoka na miziki ya wazunguu AMSTADAM GUYZ ebu kama vipi weka habri iyoo jamaa uku wanamngojeaa Mdau kontula...
ReplyDeleteFally namkubali sana,hasa kwa ule wimbo alioimba na mwanadada Olivia,mama nangai napeli moto.....
ReplyDeletekama vipi afunge safari europe... finland na sweden tumechoka na miziki ya wazunguu AMSTADAM GUYZ ebu kama vipi weka habri iyoo jamaa uku wanamngojeaa Mdau kontula...
ReplyDeleteKudadadeki Mzaire ni Mzaire tu hata akibadilika kuwa Mcongo Kapiga Full ya Barca Katafuta na Mpira wakupigia Picha hahaha sio mbaya lakini. T.I.D imekuwaje kajitowa Kilimanjaro Award au sababu ya Safari yake ya nje?. Ndosi.
ReplyDeleteKwa kumsaidia mdau anon wa 09.42.00pm
ReplyDeletekabla ya kutoa comments angesoma vizuri. aliyevaa track suit la Barcelona na kushika mpira sie Fally Ipupa ni Bachala Boy ambae ni mbongo Fally Ipupa ni aliye vaa sweta la rangi ya gray (kijivujivu)
mdau Mzee Kasri UK.
Fally Ipupa na promota wao wameikubali blogu ya jamii, kweli globu ya jamii ni moto wa kuotea mbali mpaka Uropa.
ReplyDeletefally ipupu alizua balaa bongo kuna video moja iko you tube watu wanavuana nguo kumsogelea fally. ila jamaa ni hendsamu siwalaumu watoto wa darisalama, teh teh teh
ReplyDeleteEbwana kweli noma mkongo na hizo truck zake na mpira juu wa barca..mkongo uko ulaya na mkorogo wapi na wapi ??basi mpira nao ungekuwa njano wewe FALLY IPUPA(CHALA BOY)kweli amsterdam noma wakongo..
ReplyDelete