bango la onesho la mwanamuziki nyota toka DRC Fally Ipupa ambaye usiku wa leo atakamua Amsterdam, Uholanzi
Fally Ipupa akiwa ameongozana na Challa Boy (njano) mmoja wa mapromota wa onesho hilo la leo mara tu bada ya kuwasili jijini Amsterdam kiasi cha nusu saa iliyopita

Fally Ipupa akipozi na Challa Boy na wadau baada ya kutua Amsterdam. Challa Boy ameiambia Globu ya Jamii kwa mtandao kuwa supa staa huyu wa DRC kaja na kikosi kizima na kaahidi makubwa katika shoo yake leo



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kama vipi afunge safari europe... finland na sweden tumechoka na miziki ya wazunguu AMSTADAM GUYZ ebu kama vipi weka habri iyoo jamaa uku wanamngojeaa Mdau kontula...

    ReplyDelete
  2. Fally namkubali sana,hasa kwa ule wimbo alioimba na mwanadada Olivia,mama nangai napeli moto.....

    ReplyDelete
  3. kama vipi afunge safari europe... finland na sweden tumechoka na miziki ya wazunguu AMSTADAM GUYZ ebu kama vipi weka habri iyoo jamaa uku wanamngojeaa Mdau kontula...

    ReplyDelete
  4. Kudadadeki Mzaire ni Mzaire tu hata akibadilika kuwa Mcongo Kapiga Full ya Barca Katafuta na Mpira wakupigia Picha hahaha sio mbaya lakini. T.I.D imekuwaje kajitowa Kilimanjaro Award au sababu ya Safari yake ya nje?. Ndosi.

    ReplyDelete
  5. Kwa kumsaidia mdau anon wa 09.42.00pm
    kabla ya kutoa comments angesoma vizuri. aliyevaa track suit la Barcelona na kushika mpira sie Fally Ipupa ni Bachala Boy ambae ni mbongo Fally Ipupa ni aliye vaa sweta la rangi ya gray (kijivujivu)
    mdau Mzee Kasri UK.

    ReplyDelete
  6. Fally Ipupa na promota wao wameikubali blogu ya jamii, kweli globu ya jamii ni moto wa kuotea mbali mpaka Uropa.

    ReplyDelete
  7. fally ipupu alizua balaa bongo kuna video moja iko you tube watu wanavuana nguo kumsogelea fally. ila jamaa ni hendsamu siwalaumu watoto wa darisalama, teh teh teh

    ReplyDelete
  8. Ebwana kweli noma mkongo na hizo truck zake na mpira juu wa barca..mkongo uko ulaya na mkorogo wapi na wapi ??basi mpira nao ungekuwa njano wewe FALLY IPUPA(CHALA BOY)kweli amsterdam noma wakongo..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...