utamaduni wa kutumia nyago za mastaa wetu kwenye mabango ya biashara umeshika kasi kisawasawa. safari hii aliyeula kwa kuuza nyago ni Ambwene Yesaya a.k.a AY ambaye anakwambia hivi sasa voda ni shilingi moja kwa sekunde na HABARI NDIYO HIYO!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2010

    jamani haya mabango yenu mnawaweka
    wasanii wa kizazi kipya na wacheza sinema mbona mnawasahau magwiji wetu wa muziki waliojenga jina la nchi yetu ki muziki au sanaa kwa miaka mingi??watu kama akina Rehani Bitchuka,Muhidini Maalim.Ali Jamwaka,Zahir Ally.Saidi
    Mabera nk.naona mmewasahau kabisa wakongwe hawa,jaribuni kuwapa heshima yao nao tuwaone kwenye hayo mabango yenu yaliyotanda mji mzima.mdau London

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2010

    NYAGO!!!!!!!!!!!! KWELI KISWAHILI TAMBARARE, ANY WAY NIMEIPENDA.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 14, 2010

    mdau london acha umbeya...watu wakitumia matangazo wanatafuta masoko hawauzi urembo...hata huko uliko unajua kuna magwiji kibao lakini hawachukuliwi tu hivi hivi kuendorse kitu...wenye hela yao wanatafuta masoko...
    mdau Ny City

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 14, 2010

    NYAGO??

    wee michuzi ndo lugha gani sasa hii?ebu fafanua haraka unaua lugha yetu,me wala sijaelewa kabisa

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 15, 2010

    Nyago maana yake ni nyama ya kutahiriwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...