Home
Unlabelled
mastaa wetu wanazidi kuula kwa kuuza nyago
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani haya mabango yenu mnawaweka
ReplyDeletewasanii wa kizazi kipya na wacheza sinema mbona mnawasahau magwiji wetu wa muziki waliojenga jina la nchi yetu ki muziki au sanaa kwa miaka mingi??watu kama akina Rehani Bitchuka,Muhidini Maalim.Ali Jamwaka,Zahir Ally.Saidi
Mabera nk.naona mmewasahau kabisa wakongwe hawa,jaribuni kuwapa heshima yao nao tuwaone kwenye hayo mabango yenu yaliyotanda mji mzima.mdau London
NYAGO!!!!!!!!!!!! KWELI KISWAHILI TAMBARARE, ANY WAY NIMEIPENDA.
ReplyDeletemdau london acha umbeya...watu wakitumia matangazo wanatafuta masoko hawauzi urembo...hata huko uliko unajua kuna magwiji kibao lakini hawachukuliwi tu hivi hivi kuendorse kitu...wenye hela yao wanatafuta masoko...
ReplyDeletemdau Ny City
NYAGO??
ReplyDeletewee michuzi ndo lugha gani sasa hii?ebu fafanua haraka unaua lugha yetu,me wala sijaelewa kabisa
Nyago maana yake ni nyama ya kutahiriwa
ReplyDelete