Amesema mshindi wa kwanza atachukua zawadi ya pesa taslimu shilingi milioni moja na laki tano, mshindi wa pili atalamba milioni moja, wa tatu atabeba laki nne na wa tano atapata laki tatu.
washirki kuanzia wa sita hadi 15 atapewa laki mbili. Hii inakifanya kitongoji hiki kuwa na zsawadi nono kuliko vitongoji vyote, kwani zawadi kama hizo hutolewa kwenye ngazi inayofuata, yaani wilaya.
Angalau huyo wa nne (4), kidogo anawatoa kimaso maso
ReplyDeleteWapi Sheer Illussion
Michuzi nisaidie tafadhali. Naomba wadau wanifahamishe nani Tanzania anapata exemption katika kulipa ushuru/kodi na kwa kiasi kipi.
ReplyDeletekwa mfano, walimu kiasi fulani,
wanafunzi kutoka ng'ambo ni kiasi kipi
wafanyakazi wa kimataifa...
wafanyakazi nyumbani...
Professionals na waandishi wa habari wanaosafiri kikazi kwa muda mfupi n.k....
Wabeba mabox...
Je exemption hii inalenga magari tu au hata makontena yenye vifaa mbali mbali?
Utaratibu wa kupata exemption kwenye ushuru ukoje Tanzania?
Asante.
Walau kaka Michu ungenipostiya hilo swali langu kivyake sina email yako ndo maana nimeituma kiivyo. tusaidiane nahitaji majibu ya kuongezea pepa moja hivi
ReplyDeletewanaume wengine bwana???
ReplyDelete