Wahsiriki wa Miss Ilala wakionesha miondoko walipotembelea ofisi za Vodacom
Meneja Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akiwakaribisha warembo katika kitengo cha masoko cha kampuni hiyo wakati warembo hao wanaoshiriki shindano la Miss Ilala walipotembelea katika makao makuu ya kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania jengo la PPF Tower jijini Dar.Leo warembo hao watapanda jukwaani kuchuana wakiwania taji la Miss Ilala 2010 kwenye shindano litakalofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza. Wa nne kulia ni mtaalam wa habari Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.
Wafanyakazi wa Vodacom wsakiangaliawarembo wakati wa mapumziko yao
wamejiandaa kwa shoo la nguvu kabla ya kuanza kuchuana



hivi nyie mibaba hamuoni aibu?
ReplyDeleteilala tuna kumbi chungu tele kwa nini wakafanyie ubungo nakule ni wilaya ya kinondoni sasa hiyo miss ilala ama miss kinondoni?
ReplyDeleteDuuh yaani ni ma meni tu walioenda kuwaangalia hawa ma modo wakati wa breki taimu yao!
ReplyDeleteTanzania kwa vituko! miss Ilala yafanyikia UBUNGO, sasa tusubiri Miss Tanzania kufanyikia KAMPALA AMA KIGALI. Wilaya ya Ilala imekosa KUMBI ama WATEJA?
ReplyDeleteHatuna kitu bongo
Kamau wa Nakuru akiwasema mnaona noma. Nyie mibaba, hapo mnafanya nini?
ReplyDeleteSasa watanzania wenzangu, tufanye kitu kimoja cha maana, sasa Miss Ilala, Kinondoni, Kilimanjaro, Tanzania ameshapatikana, tujaribu kitu kingine sasa this Miss business imepitwa na wakati. Hiki sio kipaji mtu anaweza kujivunia, kuma mabo muhimu jamii imgeelekeza nguvu zake.
Halafu sijui ni camera au kwavile haya mataji yamezidi kuwa mengi naona quality ya hao mamiss nayo inapungua nimeangalia miss wa sijui kanda ya kati na sasa hawa sio hata mmoja nitakaye mwamini aende kwenye international .....
ReplyDelete