Wahsiriki wa Miss Ilala wakionesha miondoko walipotembelea ofisi za Vodacom
Meneja Udhamini na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania George Rwehumbiza akiwakaribisha warembo katika kitengo cha masoko cha kampuni hiyo wakati warembo hao wanaoshiriki shindano la Miss Ilala walipotembelea katika makao makuu ya kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania jengo la PPF Tower jijini Dar.

Leo warembo hao watapanda jukwaani kuchuana wakiwania taji la Miss Ilala 2010 kwenye shindano litakalofanyika katika ukumbi wa Ubungo Plaza. Wa nne kulia ni mtaalam wa habari Vodacom Tanzania Matina Nkurlu.

Wafanyakazi wa Vodacom wsakiangalia
warembo wakati wa mapumziko yao
warembo wa Miss Ilala wakicheza Kiduku kuonesha
wamejiandaa kwa shoo la nguvu kabla ya kuanza kuchuana




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2010

    hivi nyie mibaba hamuoni aibu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2010

    ilala tuna kumbi chungu tele kwa nini wakafanyie ubungo nakule ni wilaya ya kinondoni sasa hiyo miss ilala ama miss kinondoni?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2010

    Duuh yaani ni ma meni tu walioenda kuwaangalia hawa ma modo wakati wa breki taimu yao!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 26, 2010

    Tanzania kwa vituko! miss Ilala yafanyikia UBUNGO, sasa tusubiri Miss Tanzania kufanyikia KAMPALA AMA KIGALI. Wilaya ya Ilala imekosa KUMBI ama WATEJA?
    Hatuna kitu bongo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2010

    Kamau wa Nakuru akiwasema mnaona noma. Nyie mibaba, hapo mnafanya nini?
    Sasa watanzania wenzangu, tufanye kitu kimoja cha maana, sasa Miss Ilala, Kinondoni, Kilimanjaro, Tanzania ameshapatikana, tujaribu kitu kingine sasa this Miss business imepitwa na wakati. Hiki sio kipaji mtu anaweza kujivunia, kuma mabo muhimu jamii imgeelekeza nguvu zake.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 27, 2010

    Halafu sijui ni camera au kwavile haya mataji yamezidi kuwa mengi naona quality ya hao mamiss nayo inapungua nimeangalia miss wa sijui kanda ya kati na sasa hawa sio hata mmoja nitakaye mwamini aende kwenye international .....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...