Wasanii maarufu wa muziki nchini Tanzania Joseph Mbilinyi aka Sugu lias Mr II, Fred Malick aka Mkoloni na Gerald Mwanjoka aka G. Solo wamejiunga rasmi na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukabidhiwa kadi zao za uanachama. Tukio hilo limechukua nafasi katika Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Pichani ni wanamuziki hao na Kaimu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mnyika.
Mwanamuziki wa kizazi kipya Joseph Mbilinyi Mr Sugu akipokea katiba ya CHADEMA, kutoka kwa Kaimu Katibu Mkuu wa chama hicho, baada ya kujiunga rasmi na chama hicho leo katika Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni, jijini Dar. Chanzo, habari Zaidi na picha:
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 41 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 25, 2010

    Mnyika is cute!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 25, 2010

    mr suguuu we ni kama tv ya aljazeera huona uoga wala kificho ile nyimbo loooh nimekuaminia umewachana watu bila huruma safi sanaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. VICTOR KUSEKWAJune 25, 2010

    WEWE MBILINYI UMECHANGANYIKIWA BABA YAKO ALIKUWA MWANA SIASA MZURI PALE DODOMA NA ALIKUWA MTU SAFI WA CCM MKUU WA WILAYA YAANI LEO UMETOKA MAREKANI UNAKURUPUKA NA KUJIUNGA NA CHADEMA CHAMA CHA WAHUNI KINA MBOWE? KWELI WEWE MTOTO HUNA AKILI KABISA SASA UNAONA UJANJA NI KUPIGA PICHA KWENYE MA BENZ YA WATU HUKO NEW YORK NA KUVAA MINGUO YA JESHI UNAKUJA HAPA BONGO UNAZANI MAISHA NI MTEREMKO HAYA JIUNGE NA CHADEMA LAKINI KUMBUKA WEWE UNAPENDEZA ZAIDI KUPIGA BOX SIASA ILIKUWA NZURI WAKATI WA MZEE MHESHIMIWA MBILINYI BABA YAKO MZAZI WEWE RUDI KAPIGE PICHA KWENYE MABENZ HUKU UKIVAA MINGUO YA JESHE. MICHUZI ACHA NIMCHAMBE HUYU MTOTO MIMI NI MJOMBA WAKE HANA AKILI KABISA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 25, 2010

    NATAMANI NINGEKUWA TANZANIA NIRENEW KADI YANGU YA CHADEMA!!HONGERA SANA MR SUGU...KWA UAMUZI WAKO WA BUSARA

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2010

    Sugu kachanganyikiwa mziki umekushinda green card Marekani myeyusho bongo ukipiga show hata bure watu hawaji sasa inakuwaje unatafuta jukwaa la kupiga domo,karibu kwenye siasa utalost sasa hivi wenzako wayeyushaji hao,wewe hujajifunza tu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 26, 2010

    I love malaria no more!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 26, 2010

    Sasa ni zamu ya chadema kula. nasikia wanatoa hela chungu nzima, hata mimi nafikiria kujiunga, ila nauliza kama mimi siyo mtu mashuuri nitapewa hizo hela au nikwa watu maarufu tu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 26, 2010

    Sasa ni zamu ya chadema kula. nasikia wanatoa hela chungu nzima, hata mimi nafikiria kujiunga, ila nauliza kama mimi siyo mtu mashuuri nitapewa hizo hela au nikwa watu maarufu tu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 26, 2010

    Sasa ni zamu ya chadema kula. nasikia wanatoa hela chungu nzima, hata mimi nafikiria kujiunga, ila nauliza kama mimi siyo mtu mashuuri nitapewa hizo hela au nikwa watu maarufu tu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 26, 2010

    Sasa ni zamu ya chadema kula. nasikia wanatoa hela chungu nzima, hata mimi nafikiria kujiunga, ila nauliza kama mimi siyo mtu mashuuri nitapewa hizo hela au nikwa watu maarufu tu.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 26, 2010

    nyie wakina sugu ni kwa thati kabisa mmeamua kuwa chadema au kwa sababu ccm awajawachukua kwenye matangazo yao ya vodaphone changia!!!
    kweli bongo unaangalia wapi kwenye kula akuna cha ccm mbaya wala chadema mbaya unapo kula ndo unapo pasifia usipo kula ndo unapo pakandia

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 26, 2010

    upuuzi mtupu! tukubali tusikubali! Tanzania kuna chama kimoja tu! CCM

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 26, 2010

    wewe unaejiita mjumbaweke unamsaidia nini sugu au ndio unataka aendelee kubeba box acha hizo hata baba yake alianza hivi tunataka vijana wajue sio km ukiwa ccm ndio utaweza kuishi utakavyo km wewe mjomba mtu sugu amekuwa mstari wambele kutetea wa sanii lakini mmoja wakigogo amemzulumu kwa nguzo ya hiyo ccm,kwanza ujue kila mtanzania anahaki ya kuchagua na kuchaguliwa minampongeza sugu wewe mjumba km unabeba box kumbuka ukitaka kujenga dar kiwanja gharama labda upate msata maana hata bagamoyo hamna weendelea kubeba box uone faida yake

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 26, 2010

    like this

    a way to go

    wasomi wa usa wameelimika

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 26, 2010

    new tz artist
    http://www.youtube.com/watch?v=wNGnGVy8s3Q&feature=player_embedded

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 26, 2010

    Heshima kubwa wazee for being honest and true to yourself not being some puppet ass artist who show up na nguo za kijani kwa ajili ya hela,aibu Tanzania ingekuwa na robo tatu ya wasanii kama nyie mngeendelea sana

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 26, 2010

    Du mambo mswano . We unae jifanya ni mjomba mtu we ndio una akili na kichwa chako maji kabisa yani wewe umekumbuka fadhira za baba yake {shemejiyako} kukupa viji dili kwa kutumia jina lake serekalini na kunyima haki za watu wengine na wewe kujinufaisha na tumbo lako na ma tumbo ya ma toto yako we uyu kijana kuingia vyama vya upinzani unaona vibaya {mweu kabisa we} kina ongera tuko wengi watu kama wewe tukifika bongo tu kama si cuf au chadema mbaka kieleweke tuko kwa watu kwakujifunza kirakitu atuwezi kufanywa wa ta wajinga kiasi hicho . kwa kjp watz gambalo

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 26, 2010

    Sugu safi sana. Sasa nenda kagombee jimbo la Bumbuli ili mpambane na January Makamba. Umalizie hasira yako ya kudhulumiwa ile tenda ya Malaria. Huna lolote ila ni hasira tu ya kunyimwa ile deal. Kwa vile huna uwezo wa kupambana umeamua kuingia CHADEMA. Tangu lini unajua siasa wewe. Hao akina Mnyika wanakutumia tu as advertisement gimmick wakifikiri vijana wasiokuwa na maana kama wewe watawaunga mkono. Watakutumia kama toilet paper then they will dump you my friend.

    ReplyDelete
  19. DIDI STONEJune 26, 2010

    CHADEMA KUNA NINI?MBONA WASANII WANAMIMINKIA HUKO?ALIANZA NAKAAYA SUMARI LEO SUGU NA GENGE LAKE,LAKINI SAFI SANA SIO KILA MTU LAZIMA AWE CCM,SASA ANGALAU KIDOGO TUNAANZA KUONA MABADILIKO,NA WALA SIO DHAMBI KUWA MPINZANI MWISHO WA SIKU MAISHA YANAENDELEA,ACHANENI NA MAWAZO MPAUKO YA MJOMBA KUSEKWA AMBAO BADO WANAENDELEA KUAMINI KWAMBA UKIWA MJANJA LAZIMA UWE KATIKA ULE ULIOITWA UTATU MTAKATIFU,YAANI UWE MWANA CCM,UWE MSHABIKI WA YANGA NA UWE MPENZI WA MSONDO,MAMBO HAYO HAYAPO TENA NOWADATYZ MJOMBA.

    ReplyDelete
  20. CHANGE WE NEED!June 26, 2010

    VIJANA WAZIDI KUMIMINIKA CHADEMA:

    ZITTO KABWE

    HALIMA MDEE

    JOHN MNYIKA

    NAKAAYA SUMARI

    LUCY OWENYA

    MR.TWO SUGU

    MKOLONI

    MIMI

    THE LIST TO BE CONTINUE TOMMOROW...

    ReplyDelete
  21. AnonymousJune 26, 2010

    kwa wanachama wote wa CHADEMA ONYO: hii tabia ya kuigaiga itatuharibia kabisa. Mimi naamini vijana hao wahajaingia CHADEMA eti wanauchungu na maendeleo ya nchi. Vijana hao wameingia CHADEMA kulipiza BIFF zao na RADIO CLOUDS mfano ulio hai ni ugomvi wa ZINDUKA program ya Malaria ambayo SUGU alikimbia nayo huko USA kusakanya wafadhili nk then Ruge akamzidi kete hapo kwenye siasa ndo ameona mahali pa kulipiza. Be Careful John Mnyika na hao vijana.

    ReplyDelete
  22. AnonymousJune 26, 2010

    Joseph Mbilinyi sio mtoto wa Prof. Mbilinyi acheni kuhisi mambo tafuteni ukweli

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 26, 2010

    WASANII WA BONGO KWA VISASI SIJUI KAMA TUTAFIKA;

    Nakaaya Sumari anauchungu na kifo cha Amina Chifupa lazima niwarudi kupitia Chadema, nae katangaza kujiunga huko.. hongera dd. Ila uwe mwanasiasa haswa najua unaweza achana na visasi peleka sera.

    Mr. Sugu, zinduka malaria leo imemfanya atambue kwamba kuna umuhimu wa kuwa manasiasa ili nilipize kwa Ruge kwani Ruge na Clouds ni wana-CCM. Kazi butu kk acha visasa peleka sera.

    ReplyDelete
  24. AnonymousJune 26, 2010

    Nawaunga mkono kwa kufanya uamuzi ambao unaonyesha kukua kisiasa. Lakini machoni mwenu ninasoma picha nyingine kabisa bado hamko huru, bado mnawasiwasi naomba mtoe wasiwasi si kwa kuwa motivated na pesa nyingi tu na chadema bali kwa motive inayotoka ndani mwenu. naomba Mungu msiwe mmepewa rushwa maana ni dhambi isiyosameheka

    ReplyDelete
  25. AnonymousJune 26, 2010

    WE VICTOR KIBARAKA WA CCM,NA HATA UDIWANI WA KUTEULIWA HUPATI NG'OO,MUACHE SUGU NA MAISHA YAKE. BABA YAKE NI BABA YAKE NA YY ANA MAAMUZI YAKE.
    GO SUGU,OTHERS WILL FOLLOW.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJune 26, 2010

    karibuni kundini.
    afadhali wapiganaji tuwe wengi.
    people's power!
    pamoja.
    na mrs politishan naye ni wetu.

    ReplyDelete
  27. THANKS KWA KUTOVALISHA T-SHIRT ZA KIJANI...!

    ReplyDelete
  28. Safi sana Sugu na wanaharakati wenzako, naona yale majira yaliyotajwa kwenye ufunuo wa yohana yamekaribia, tunahitaji vijana wanaothubutu kama nyie ili tuweze kufanya mapinduzi ya kiukweli. Maana kila mahali Tanzania ambapo haki haitendeki CCM inahusika. eg. CLOUDS FM ni CCM, THT etc, Kifo kipo tu hatuna haja ya kukiogopa! UKWELI UTATUWEKA HURU.
    nimesikia ANTIVIRUS SONG from Sugu, all I can say is... Thats how hip hop should be used, kutetea haki za wanyonge kwa kusema ukweli bila kuogopa mtu yeyote. Tumewachoka wanafiki.Big Up Sana!

    ReplyDelete
  29. AnonymousJune 26, 2010

    Ni uhuru wao lakini wasituvunge sisi tuaowajua tunafahamu kuwa hawa wana ajenda yao. Bro Blaise.

    ReplyDelete
  30. AnonymousJune 26, 2010

    Ebwana sugu mimi nakupa big up sana mtu mzima let me tell you this,the decision that you made is not uneasy thing,na sisi wasomi tulioko nje ndo tunatakiwa kutaijenge Tanzania watu hawaelewa nji kuendelea inataka vitu vingi sana mojawapo ni watu jasiri ambao they don' give a damm ya kuogopa somebody,big up man mimi nikirudi nagombea na ubunge kabisa,ili ni utilize my education na wabongo.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJune 26, 2010

    Pongezi kubwa kwako Sugu kwa kuonesha ushujaa. Wasanii wengi wa Tanzania ni waoga na wanaishia kuwa mapuppet wa CCM. Hamna kitu kinachonichefua kama kuona wasanii wote wanavaa nguo za kijani wakimpigia kampeni mtu mmoja.
    Naomba nisieleweke vibaya katika hili. Sina maana kwamba CCM haina mazuri, lakini haiingii akili eti kuona kila msanii anakuwa na view moja.. Kwa jamii yeyote iliyoendelea, laazima kuwepo na ukinzano wa mawazo.
    Hata kama wapinzani hawjamature, lakini kuna haja ya wao kupatiwa nguvu ili CCM isijitawale. Lakini tukiishi ktk nchi ambayo kila mtu anajikomba ktk chama kimoja, itakuwa ngumu kuendelea...

    ReplyDelete
  32. AnonymousJune 26, 2010

    we sugu acha hizo ndugu umesahau kauli ya sumaye ukitaka kufanya biashara kwa amani ingia CCM asa ndugu yngu soon tu utabambikiwa kesi ya uuza unga na hv kila siku unakwenda usa na kurudi ohoooo!!!

    ReplyDelete
  33. AnonymousJune 26, 2010

    MR2 kama tulivyokuwa uliponipa album yako ya kwanza 1995 niko pamoja nawe, watu wasiojali haki hawafai kuungwa mkono.
    Supastaa mwenzio

    ReplyDelete
  34. AnonymousJune 26, 2010

    mimi sijaelewa baadhi ya watu hapo juu sasa mnataka kila mtanzania awe CCM!!!?? mmejaa uwoga wa maisha safi sana sugu safi mkoloni wewe tangu zamani nyimbo zako ni kama haki elimu karibuni kwenye chama cha ukweli

    ReplyDelete
  35. AnonymousJune 26, 2010

    njaa bana,kweli adui muombee njaa,sugu njaa inakusumbua,chadema sio chama ni ngos hiyo ya kina mbowe,hope watakupa kazi pale bills.sugu your so funny.

    ReplyDelete
  36. AnonymousJune 26, 2010

    ukweli unakaribia jamani tunaomba uzima ili tuje kuona mambo yatakavokuwa siku moja ktk hii nchi dalili ya mvua.............

    ReplyDelete
  37. AnonymousJune 27, 2010

    WE ANONY HAPO JUU HAMNA MTU HAPA KASEMA BABA YAKE NI PROFESA MBILINYI, AKINA MBILINYI WAKO WENGI, BABA YAKE ALIKUWA KIBOPA SERIKALINI NA KWA CCM ALIKUWA ANAITWA MBILINYI SIYO HUO WAKWAKO UNAYEMJUWA WEWE PROFESA

    ReplyDelete
  38. AnonymousJune 27, 2010

    Kweli njaa haina heshima. pole Sugu.

    ReplyDelete
  39. AnonymousJune 27, 2010

    Kila mtu anaelekea anapoona sawa. Sio kila mtu awe ccm. All the best guys!! mi ntaenda ccm cz ipo madarakani na naitaji hela ya fasta fasta but ki ukweli naipenda Chadema Mbowe can do changes! Ila wa tz waoga, we dont trust other political parties, which in one way or another ni kitu kizuri mana kama TLP ikiingia madarakani-TZ itapotea kabisa.
    (ambayo sio leo wala kesho mpaka ridhiwani agewe kiti kwanza-)
    Mdau,
    USA

    ReplyDelete
  40. AnonymousJune 27, 2010

    umepoteza ramani sugu ungeingia ccm wangekufikiria angalau ungepata pesa zako za malaria...elimu yako ndogo hakuna mtu atakayekupa cheo hapo chadema hiko ni chama cha watu wachache sana...watz sio kama hawautaki upinzani tatizo hawana system inayoeleweka kwny vyama uvyao sasa ukiwapa nchi si watakuwa wanagombania madaraka kwa kuwa hakuna system..ccm hata km in mabaya tumeona kuna mgawanyo wa madaraka kuna NEC ambayo ina nguvu ya kumuweka mtu..lkn uko kwingine mtu mmoja ndo kila kitu..

    ReplyDelete
  41. Sasa naamini kaka sugu sio mnafiki kama vijana wa kitanzania walio wengi ambao ni ma oppotunist tuko pamoja and @Mnyika ongeza nguvu tupat watuinfluencial kwenye jamii tuikomboe tanzani.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...