Wasanii maarufu wa muziki nchini Tanzania Joseph Mbilinyi aka Sugu lias Mr II, Fred Malick aka Mkoloni na Gerald Mwanjoka aka G. Solo wamejiunga rasmi na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukabidhiwa kadi zao za uanachama. Tukio hilo limechukua nafasi katika Ofisi za Makao Makuu ya CHADEMA, zilizopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam.Pichani ni wanamuziki hao na Kaimu Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mnyika.
BOFYA HAPA


Mnyika is cute!
ReplyDeletemr suguuu we ni kama tv ya aljazeera huona uoga wala kificho ile nyimbo loooh nimekuaminia umewachana watu bila huruma safi sanaaaaaaaaa
ReplyDeleteWEWE MBILINYI UMECHANGANYIKIWA BABA YAKO ALIKUWA MWANA SIASA MZURI PALE DODOMA NA ALIKUWA MTU SAFI WA CCM MKUU WA WILAYA YAANI LEO UMETOKA MAREKANI UNAKURUPUKA NA KUJIUNGA NA CHADEMA CHAMA CHA WAHUNI KINA MBOWE? KWELI WEWE MTOTO HUNA AKILI KABISA SASA UNAONA UJANJA NI KUPIGA PICHA KWENYE MA BENZ YA WATU HUKO NEW YORK NA KUVAA MINGUO YA JESHI UNAKUJA HAPA BONGO UNAZANI MAISHA NI MTEREMKO HAYA JIUNGE NA CHADEMA LAKINI KUMBUKA WEWE UNAPENDEZA ZAIDI KUPIGA BOX SIASA ILIKUWA NZURI WAKATI WA MZEE MHESHIMIWA MBILINYI BABA YAKO MZAZI WEWE RUDI KAPIGE PICHA KWENYE MABENZ HUKU UKIVAA MINGUO YA JESHE. MICHUZI ACHA NIMCHAMBE HUYU MTOTO MIMI NI MJOMBA WAKE HANA AKILI KABISA
ReplyDeleteNATAMANI NINGEKUWA TANZANIA NIRENEW KADI YANGU YA CHADEMA!!HONGERA SANA MR SUGU...KWA UAMUZI WAKO WA BUSARA
ReplyDeleteSugu kachanganyikiwa mziki umekushinda green card Marekani myeyusho bongo ukipiga show hata bure watu hawaji sasa inakuwaje unatafuta jukwaa la kupiga domo,karibu kwenye siasa utalost sasa hivi wenzako wayeyushaji hao,wewe hujajifunza tu.
ReplyDeleteI love malaria no more!
ReplyDeleteSasa ni zamu ya chadema kula. nasikia wanatoa hela chungu nzima, hata mimi nafikiria kujiunga, ila nauliza kama mimi siyo mtu mashuuri nitapewa hizo hela au nikwa watu maarufu tu.
ReplyDeleteSasa ni zamu ya chadema kula. nasikia wanatoa hela chungu nzima, hata mimi nafikiria kujiunga, ila nauliza kama mimi siyo mtu mashuuri nitapewa hizo hela au nikwa watu maarufu tu.
ReplyDeleteSasa ni zamu ya chadema kula. nasikia wanatoa hela chungu nzima, hata mimi nafikiria kujiunga, ila nauliza kama mimi siyo mtu mashuuri nitapewa hizo hela au nikwa watu maarufu tu.
ReplyDeleteSasa ni zamu ya chadema kula. nasikia wanatoa hela chungu nzima, hata mimi nafikiria kujiunga, ila nauliza kama mimi siyo mtu mashuuri nitapewa hizo hela au nikwa watu maarufu tu.
ReplyDeletenyie wakina sugu ni kwa thati kabisa mmeamua kuwa chadema au kwa sababu ccm awajawachukua kwenye matangazo yao ya vodaphone changia!!!
ReplyDeletekweli bongo unaangalia wapi kwenye kula akuna cha ccm mbaya wala chadema mbaya unapo kula ndo unapo pasifia usipo kula ndo unapo pakandia
upuuzi mtupu! tukubali tusikubali! Tanzania kuna chama kimoja tu! CCM
ReplyDeletewewe unaejiita mjumbaweke unamsaidia nini sugu au ndio unataka aendelee kubeba box acha hizo hata baba yake alianza hivi tunataka vijana wajue sio km ukiwa ccm ndio utaweza kuishi utakavyo km wewe mjomba mtu sugu amekuwa mstari wambele kutetea wa sanii lakini mmoja wakigogo amemzulumu kwa nguzo ya hiyo ccm,kwanza ujue kila mtanzania anahaki ya kuchagua na kuchaguliwa minampongeza sugu wewe mjumba km unabeba box kumbuka ukitaka kujenga dar kiwanja gharama labda upate msata maana hata bagamoyo hamna weendelea kubeba box uone faida yake
ReplyDeletelike this
ReplyDeletea way to go
wasomi wa usa wameelimika
new tz artist
ReplyDeletehttp://www.youtube.com/watch?v=wNGnGVy8s3Q&feature=player_embedded
Heshima kubwa wazee for being honest and true to yourself not being some puppet ass artist who show up na nguo za kijani kwa ajili ya hela,aibu Tanzania ingekuwa na robo tatu ya wasanii kama nyie mngeendelea sana
ReplyDeleteDu mambo mswano . We unae jifanya ni mjomba mtu we ndio una akili na kichwa chako maji kabisa yani wewe umekumbuka fadhira za baba yake {shemejiyako} kukupa viji dili kwa kutumia jina lake serekalini na kunyima haki za watu wengine na wewe kujinufaisha na tumbo lako na ma tumbo ya ma toto yako we uyu kijana kuingia vyama vya upinzani unaona vibaya {mweu kabisa we} kina ongera tuko wengi watu kama wewe tukifika bongo tu kama si cuf au chadema mbaka kieleweke tuko kwa watu kwakujifunza kirakitu atuwezi kufanywa wa ta wajinga kiasi hicho . kwa kjp watz gambalo
ReplyDeleteSugu safi sana. Sasa nenda kagombee jimbo la Bumbuli ili mpambane na January Makamba. Umalizie hasira yako ya kudhulumiwa ile tenda ya Malaria. Huna lolote ila ni hasira tu ya kunyimwa ile deal. Kwa vile huna uwezo wa kupambana umeamua kuingia CHADEMA. Tangu lini unajua siasa wewe. Hao akina Mnyika wanakutumia tu as advertisement gimmick wakifikiri vijana wasiokuwa na maana kama wewe watawaunga mkono. Watakutumia kama toilet paper then they will dump you my friend.
ReplyDeleteCHADEMA KUNA NINI?MBONA WASANII WANAMIMINKIA HUKO?ALIANZA NAKAAYA SUMARI LEO SUGU NA GENGE LAKE,LAKINI SAFI SANA SIO KILA MTU LAZIMA AWE CCM,SASA ANGALAU KIDOGO TUNAANZA KUONA MABADILIKO,NA WALA SIO DHAMBI KUWA MPINZANI MWISHO WA SIKU MAISHA YANAENDELEA,ACHANENI NA MAWAZO MPAUKO YA MJOMBA KUSEKWA AMBAO BADO WANAENDELEA KUAMINI KWAMBA UKIWA MJANJA LAZIMA UWE KATIKA ULE ULIOITWA UTATU MTAKATIFU,YAANI UWE MWANA CCM,UWE MSHABIKI WA YANGA NA UWE MPENZI WA MSONDO,MAMBO HAYO HAYAPO TENA NOWADATYZ MJOMBA.
ReplyDeleteVIJANA WAZIDI KUMIMINIKA CHADEMA:
ReplyDeleteZITTO KABWE
HALIMA MDEE
JOHN MNYIKA
NAKAAYA SUMARI
LUCY OWENYA
MR.TWO SUGU
MKOLONI
MIMI
THE LIST TO BE CONTINUE TOMMOROW...
kwa wanachama wote wa CHADEMA ONYO: hii tabia ya kuigaiga itatuharibia kabisa. Mimi naamini vijana hao wahajaingia CHADEMA eti wanauchungu na maendeleo ya nchi. Vijana hao wameingia CHADEMA kulipiza BIFF zao na RADIO CLOUDS mfano ulio hai ni ugomvi wa ZINDUKA program ya Malaria ambayo SUGU alikimbia nayo huko USA kusakanya wafadhili nk then Ruge akamzidi kete hapo kwenye siasa ndo ameona mahali pa kulipiza. Be Careful John Mnyika na hao vijana.
ReplyDeleteJoseph Mbilinyi sio mtoto wa Prof. Mbilinyi acheni kuhisi mambo tafuteni ukweli
ReplyDeleteWASANII WA BONGO KWA VISASI SIJUI KAMA TUTAFIKA;
ReplyDeleteNakaaya Sumari anauchungu na kifo cha Amina Chifupa lazima niwarudi kupitia Chadema, nae katangaza kujiunga huko.. hongera dd. Ila uwe mwanasiasa haswa najua unaweza achana na visasi peleka sera.
Mr. Sugu, zinduka malaria leo imemfanya atambue kwamba kuna umuhimu wa kuwa manasiasa ili nilipize kwa Ruge kwani Ruge na Clouds ni wana-CCM. Kazi butu kk acha visasa peleka sera.
Nawaunga mkono kwa kufanya uamuzi ambao unaonyesha kukua kisiasa. Lakini machoni mwenu ninasoma picha nyingine kabisa bado hamko huru, bado mnawasiwasi naomba mtoe wasiwasi si kwa kuwa motivated na pesa nyingi tu na chadema bali kwa motive inayotoka ndani mwenu. naomba Mungu msiwe mmepewa rushwa maana ni dhambi isiyosameheka
ReplyDeleteWE VICTOR KIBARAKA WA CCM,NA HATA UDIWANI WA KUTEULIWA HUPATI NG'OO,MUACHE SUGU NA MAISHA YAKE. BABA YAKE NI BABA YAKE NA YY ANA MAAMUZI YAKE.
ReplyDeleteGO SUGU,OTHERS WILL FOLLOW.
karibuni kundini.
ReplyDeleteafadhali wapiganaji tuwe wengi.
people's power!
pamoja.
na mrs politishan naye ni wetu.
THANKS KWA KUTOVALISHA T-SHIRT ZA KIJANI...!
ReplyDeleteSafi sana Sugu na wanaharakati wenzako, naona yale majira yaliyotajwa kwenye ufunuo wa yohana yamekaribia, tunahitaji vijana wanaothubutu kama nyie ili tuweze kufanya mapinduzi ya kiukweli. Maana kila mahali Tanzania ambapo haki haitendeki CCM inahusika. eg. CLOUDS FM ni CCM, THT etc, Kifo kipo tu hatuna haja ya kukiogopa! UKWELI UTATUWEKA HURU.
ReplyDeletenimesikia ANTIVIRUS SONG from Sugu, all I can say is... Thats how hip hop should be used, kutetea haki za wanyonge kwa kusema ukweli bila kuogopa mtu yeyote. Tumewachoka wanafiki.Big Up Sana!
Ni uhuru wao lakini wasituvunge sisi tuaowajua tunafahamu kuwa hawa wana ajenda yao. Bro Blaise.
ReplyDeleteEbwana sugu mimi nakupa big up sana mtu mzima let me tell you this,the decision that you made is not uneasy thing,na sisi wasomi tulioko nje ndo tunatakiwa kutaijenge Tanzania watu hawaelewa nji kuendelea inataka vitu vingi sana mojawapo ni watu jasiri ambao they don' give a damm ya kuogopa somebody,big up man mimi nikirudi nagombea na ubunge kabisa,ili ni utilize my education na wabongo.
ReplyDeletePongezi kubwa kwako Sugu kwa kuonesha ushujaa. Wasanii wengi wa Tanzania ni waoga na wanaishia kuwa mapuppet wa CCM. Hamna kitu kinachonichefua kama kuona wasanii wote wanavaa nguo za kijani wakimpigia kampeni mtu mmoja.
ReplyDeleteNaomba nisieleweke vibaya katika hili. Sina maana kwamba CCM haina mazuri, lakini haiingii akili eti kuona kila msanii anakuwa na view moja.. Kwa jamii yeyote iliyoendelea, laazima kuwepo na ukinzano wa mawazo.
Hata kama wapinzani hawjamature, lakini kuna haja ya wao kupatiwa nguvu ili CCM isijitawale. Lakini tukiishi ktk nchi ambayo kila mtu anajikomba ktk chama kimoja, itakuwa ngumu kuendelea...
we sugu acha hizo ndugu umesahau kauli ya sumaye ukitaka kufanya biashara kwa amani ingia CCM asa ndugu yngu soon tu utabambikiwa kesi ya uuza unga na hv kila siku unakwenda usa na kurudi ohoooo!!!
ReplyDeleteMR2 kama tulivyokuwa uliponipa album yako ya kwanza 1995 niko pamoja nawe, watu wasiojali haki hawafai kuungwa mkono.
ReplyDeleteSupastaa mwenzio
mimi sijaelewa baadhi ya watu hapo juu sasa mnataka kila mtanzania awe CCM!!!?? mmejaa uwoga wa maisha safi sana sugu safi mkoloni wewe tangu zamani nyimbo zako ni kama haki elimu karibuni kwenye chama cha ukweli
ReplyDeletenjaa bana,kweli adui muombee njaa,sugu njaa inakusumbua,chadema sio chama ni ngos hiyo ya kina mbowe,hope watakupa kazi pale bills.sugu your so funny.
ReplyDeleteukweli unakaribia jamani tunaomba uzima ili tuje kuona mambo yatakavokuwa siku moja ktk hii nchi dalili ya mvua.............
ReplyDeleteWE ANONY HAPO JUU HAMNA MTU HAPA KASEMA BABA YAKE NI PROFESA MBILINYI, AKINA MBILINYI WAKO WENGI, BABA YAKE ALIKUWA KIBOPA SERIKALINI NA KWA CCM ALIKUWA ANAITWA MBILINYI SIYO HUO WAKWAKO UNAYEMJUWA WEWE PROFESA
ReplyDeleteKweli njaa haina heshima. pole Sugu.
ReplyDeleteKila mtu anaelekea anapoona sawa. Sio kila mtu awe ccm. All the best guys!! mi ntaenda ccm cz ipo madarakani na naitaji hela ya fasta fasta but ki ukweli naipenda Chadema Mbowe can do changes! Ila wa tz waoga, we dont trust other political parties, which in one way or another ni kitu kizuri mana kama TLP ikiingia madarakani-TZ itapotea kabisa.
ReplyDelete(ambayo sio leo wala kesho mpaka ridhiwani agewe kiti kwanza-)
Mdau,
USA
umepoteza ramani sugu ungeingia ccm wangekufikiria angalau ungepata pesa zako za malaria...elimu yako ndogo hakuna mtu atakayekupa cheo hapo chadema hiko ni chama cha watu wachache sana...watz sio kama hawautaki upinzani tatizo hawana system inayoeleweka kwny vyama uvyao sasa ukiwapa nchi si watakuwa wanagombania madaraka kwa kuwa hakuna system..ccm hata km in mabaya tumeona kuna mgawanyo wa madaraka kuna NEC ambayo ina nguvu ya kumuweka mtu..lkn uko kwingine mtu mmoja ndo kila kitu..
ReplyDeleteSasa naamini kaka sugu sio mnafiki kama vijana wa kitanzania walio wengi ambao ni ma oppotunist tuko pamoja and @Mnyika ongeza nguvu tupat watuinfluencial kwenye jamii tuikomboe tanzani.....
ReplyDelete