NDIO MZEE!
PROFESA J (SHOTO) AKIWA NA DJ RICHMAKA WALIPOKUJA OFISINI ZA GLOBU YA JAMII JIJINI DAR LEO KUTANGAZA NIA YA KUFANYA SHOO KIBAO HUKO MAREKANI ZITAZOANZIA MWEZI JULAI HADI AGOSTI MWAKA HUU.NGOME ENTERTAINMENT
PROUDLY PRESSENTS
PROFFESOR J'S AMERICAN TOUR
JULY- AUGUST 2010
PROFESA J ATAKUWA MAREKANI KUANZIA JULAI 3, 010 HADI MWISHO WA AUGUST KWA TOUR YA KUFA MTU KWENYE STATE MBALIMBALI.
PROFESA J ATAKUWA MAREKANI KUANZIA JULAI 3, 010 HADI MWISHO WA AUGUST KWA TOUR YA KUFA MTU KWENYE STATE MBALIMBALI.
KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU KU-BOOK SHOW WASILIANA NA
KITOVA @214 455 5082
MORE DETAILS


safi sana! hatimaye wa mitulinga unukuja pande za huku. i can't wait bro!!
ReplyDeleteIt has been a long wait prof , toka uko Tanga ukifanya kazi. Kweli jasho limelipa-big up karibu mamtoni mkubwa.
ReplyDeleteSana!!! Tunakusubiri wa mitulinga! Nitapenda kumjua huyo Chief Sam (wa Bongo D'salaam) kama bado yuko Texas ukija - intro muhimu!!! Karibu sana
ReplyDeleteHuyu mwana CCM hana mpango wowote
ReplyDelete