NDIO MZEE!
PROFESA J (SHOTO) AKIWA NA DJ RICHMAKA WALIPOKUJA OFISINI ZA GLOBU YA JAMII JIJINI DAR LEO KUTANGAZA NIA YA KUFANYA SHOO KIBAO HUKO MAREKANI ZITAZOANZIA MWEZI JULAI HADI AGOSTI MWAKA HUU.
NGOME ENTERTAINMENT
PROUDLY PRESSENTS
PROFFESOR J'S AMERICAN TOUR

JULY- AUGUST 2010

PROFESA J ATAKUWA MAREKANI KUANZIA JULAI 3, 010 HADI MWISHO WA AUGUST KWA TOUR YA KUFA MTU KWENYE STATE MBALIMBALI.

KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU KU-BOOK SHOW WASILIANA NA
KITOVA @214 455 5082
MORE DETAILS

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 26, 2010

    safi sana! hatimaye wa mitulinga unukuja pande za huku. i can't wait bro!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2010

    It has been a long wait prof , toka uko Tanga ukifanya kazi. Kweli jasho limelipa-big up karibu mamtoni mkubwa.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2010

    Sana!!! Tunakusubiri wa mitulinga! Nitapenda kumjua huyo Chief Sam (wa Bongo D'salaam) kama bado yuko Texas ukija - intro muhimu!!! Karibu sana

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 26, 2010

    Huyu mwana CCM hana mpango wowote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...