






HATIMAYE MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. ALLY MOHAMED SHEIN AMEIBUKA KIDEDEA KWA KURA 117 NA KUWABWAGA WAPIZANIA WAKE DR. GHALIB BILAL NA WAZIRI KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR SHAMSI VUAI NAHODHA KATIKA KINYAG'ANYIRO CHA KUWANIA KUGOMBEA URAIS KISIWANI ZANZIBAR.
DR.SHEIN ALIWASHINDA GHALIB BILAL AMBAYE AMEPATA 54 NA KUSHIKA NAFASI PILI AKIFUATIWA NA SHAMSI VUAI NAHODHA AMBAYE AMESHIKA NAFASI YA TATU KWA KUPATA KURA 33 HABARI NDO HIYO WADAU.
Huyu ndie anaetufaa Wazanzibari, hana makuu, hana majungu, hana makundi, si mtu anaefikiria visasi, anapenda kudumisha umoja
ReplyDeleteEe!!!! Mwenyezi Mungu mpe uzima, ili tutumie busara zake.
Hongera brother.
Hiyo ndiyo Dodoma bwana. Mambo yote yangefanyika Zanzibar tungeweza kupata matokeo tofauti lakini Dodoma? Wewe ungetegemea nini zaidi ya Sheni?
ReplyDeleteHIVI KATIKA WAJUMBE WALIOPIGA KURA KWENYE HUO MKUTANO NI WANGAPI WAMETOKA ZANZIBAR?
ReplyDeleteZANZIBAR ISIWE IKAWA INACHAGULIWA MGOMBEA WA URAIS NA WATU WA BARA AMBAO WENGINE HAWAJAWAHI HATA KUFIKA ZANZIBAR.
GHALIB BILAL KWAKE NDIYO IMETOKA HIVYO, HANA LAKE TENA KWENYE URAIS WA ZANZIBAR. KAMA KWELI ANATAKA KUWA RAIS NA ANAKUBALIKA SANA HUKO ZANZIBAR BASI AGOMBEE KUPITIA CHAMA CHA UPINZANI KWANI WAKUBWA WA CCM HAWAMTAKI.
ReplyDeleteSASA KIKWETE ATAMCHAGUA NANI KUWA MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO?
ReplyDeleteKWA MTINDO HUU WA KUCHAGUA MGOMBEA KWENYE MKUTANO WENYE WAJUMBE WENGI WA BARA BASI HATA RAIS WA MUUNGANO HAWEZI KUTOKA ZANZIBAR NDANI YA CCM KWANI MTANDAO MKUBWA UKO BARA.
ReplyDeleteSHENI ALISHAWEKA MTANDAO WAKE HUKU BARA AMBAKO KUNA WAJUMBE WENGI WA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA CCM. HIVYO WENGI WALITEGEMEA ANGESHINDA TU KIRAHISI.
ReplyDeleteHIYO NIMEIPENDA SANA KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.KIDUMUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU
ReplyDeleteSasa akapambane na Malim Seif, wote wapemba hawa. Karata mzuri ya CCM kwenye kura za wapemba hiyo, kwani kama ni sahihi atakuwa mgombea wa kwanza wa urais wa Zanzibar kutoka Pemba. Hivyo kuna uwezekano mkubwa wapemba wakaipigia CCM kura za urais safari hii.
ReplyDeleteSeif na CUF kazi ipo hapo
Hakuna ambaye hakujua nini kitatokea. Hata wagombea wenzake walijua!
ReplyDeleteWell. Shein anadeserve
Ahsante kwa habari ila sijafurahishwa na matokeo hta kidogo ukisikia mapinduzi ya siasa yanakuja zenji ndio hayo. CUF watashinda tu km kawaida yao kubwa zaid kwa ushindi wa kishindo tna mara hii watashinda kwa kishindo zaid na hawatonyang'anywa serikali. Mungu ibariki zenji na tz kwa ujumla
ReplyDeleteWIZI MTUPU HAYA WANGEFANYIA ZNZ wananchi wa ZNZ ndio waamuwe DR BILAL ndio wanaomtaka.
ReplyDeletekipekee nimefurahi sana, pia ninauzuni..kwa sababu nilikuwa nataka agombee uraisi wa muungano 2015..lakini si inawezekani kuongaza Zanzibar kwa kipindi kimoja na kurudi muungano kuongoza serikali baada ya Jk
ReplyDeleteNinamuombea Mungu andelee kumlinda
there is doubt this is right leader we have in hand tunatakiwa kumlinda kwa gharama zozote. hata wakati wa kuongea utamwelewa siyo mzee wa longo longo ni facts and kufanya kazi
Hongera sana Dr. Shein kwa kuibuka kidedea,hiyo ndio demokrasia.Ila basi nina wasi2 na Dr Bilal kama kweli atalidhia kushindwa kwake maanakwa asilimia 100 alikuwa anjua kuwa ni yeye,lakini kumbe Shein ndie aliyeshinda.Basi ningemwomba Dr Bilal akukabali matokeo hayo,hakuna haja ya kuanzisha mjadala wa mara sikutendewa haki,hiyo ndio haswa demokrasia was asilete fujo watu wa Usalama tutamdhibiti bila tatizo lolote,akukubali na huo ndio uwe mwisho wake wa kugombea tena Urais wa Visiwani kwani umri umemtupa mkono.
ReplyDeleteHongera sana Shein,mie nilijua tu kuwa utakuwa wewe.Hili mwaka 2015 uje na uraisi Tz.Kubali yamekishwa mambo ndio yalivyo.
mdau Wa Ipinda Lusungo Kyela
I am also coming to vie for an office in TZ as long as I denounce my kenyan citizeship
ReplyDeleteMujomba Paulo Kamau
Nakuru-Kenya
@ Paulo, kwani mbona usigombee kwa Mungiki? au wewe ni Gikuyu fake?
ReplyDeleteUncle Kamau do u see us guys they way we practice democracy.. ithink this is a very big lesson lesson to you and ur country men..Us Guys we very far... karbu but dont bring ur Kenyan attitude n tribalistic
ReplyDeleteShein for presidency 2015..after JK
ReplyDeleteI really admire you so much, u have astand and u work on ur stand.
Vamos Shein
Na Mgombea mwenza wa JK ni...........................
ReplyDeleteRais Karume, hapo wamekuda deal kuswapu madaraka. Tuwe na subira
Mimi kitu kinachonikera ni kwamba kwa nini raisi wa zanzibar anachaguliwa na majority ya wabara?hapo hakuna demokrasia kwani rais anatakiwa achaguliwe na wananchi anaowaongoza.Hivi leo tuseme kenya ndio watuchagulie raisi tungekubali?Hii ni moja ya tatizo la muungano.
ReplyDeleteHAYA UCHAGUZI NDIO USHAFANYIKA TAYARI NA RAISI KISHAJULIKANA ,MWEZI OCTOBER NI KUMHAKIKISHA TU LAKINI ALOCHAGULIWA KIZOTA NDIO RAISI WA ZANZIBAR HATA AKIPATA KURA MOJA.SEMA HAPA IPOKAZI SHEIN ANA UWEZO WA KUKATAA MATOKEO?(Thierry-handball)
ReplyDeleteKESHO RAIS KARUME ANATANGAZWA KUWA MGOMBEA MWENZA WA JK, WERA WERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
ReplyDeletePIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO.
ijapokuwa mimi ni mtanzania kutoka bara (kwetu kilimanjaro), naamini kuwa huu ni uteuzi mzuri kwa kuwa dr shein ni mwadilifu, mchapakazi, hana majungu, hana vikudi, ni mwaaminifu. tunahitaji viongozi ambao ni watendaji na wasiopenda majungu na conspiracy.
ReplyDeleteBOOOOOOOOOOOOOORING!!!
ReplyDeleteYAANI KWA KIFUPI SIASA ZA BONGO ZINABOA! VIONGOZI WANABOA! SIONI HATA KWA NINI KUNA UCHAGUZI,WATU NI WALEWALE, RANGI NI ILE ILE,SERA/STORY NI ZILE ZILE!
Usinibanie comment yangu.
Ni mimi Shushushu.uk
Hi,wadau!
ReplyDeleteRangi hiyo iliyo tanda hapo na nyuso zote ndo zimeifanya Tanzania ionekana ilivyo hadi sasa. Msijali tutasonga kwa rushwa,udungu na ushosti.
Eh MWENYEZI MUNGU NIEPUSHE ZAMBI HIZI.AMINA
Hasabu za haraka haraka:
ReplyDeleteJumla ya kura: 117+54+33=204
Mikoa:ZNB=5,TZB=21,jumla=26
Uwiano wa wajumbe:
Zanzibar=(5/26)*204=39.2 tuchukue40
Tanzania Bara = 204-40=164
HITIMISHO
Rais wa zanzibar anachaguliwa na watu wa bara ndio maana tunaambiwa kwamba ZANZIBAR SI NCHI!!!!!
Kazi kwenu Wanzanzibari manake kwa stahili hii bado HAMJAWA HURU MSIJIDANGANYE
MUUNDO WA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CCM TAIFA NDIO UNAPELEKEA WAJUMBE WA BARA KUWACHAGULIA ZANZIBAR MGOMBEA URAIS.WAZANZIBAR WANAMTAKA BILAL ILI HALI VIONGOZI WA CCM BARA WANAMTAKA SHEIN.KURA 117 DHIDI YA 54 ? HAKUNA USHINDANI HAPO. AU 117 DHIDI YA NAHODHA 33 ? BILAL + NAHODHA = 87.BADO HAWAJAMKARIBIA SHEIN HATA KIDOGO !
ReplyDeleteMDAU WA NE,DC.
HII SIO HAKI KABISA WAZANZIBARI WANA HAKI YA KUSIKILIZWA WANAMTAKA NANI KUWA RAISI WAO , NA WENGI WANAMTAKA BILALI LAKINI WABARA NDIO WANA NGUVU SHAME !!!NAJUA KUNA WANA CCM WANAWEZA WAGOME KUPIGA KURA MWAKA HUU NA TUTAONA HUYO SHEIN AKISHINDA ATASHINDA WA ASILIMIA NDOGO SANA HII NI HATARI KWANI CUF ITAWEZA KUSHINDA!!!DUUU RAISI MPEMBA MAAJABU HATA KAMA CUF HAITOSHINDA PRACTICALY IMESHINDA
ReplyDeleteHII SIO HAKI KABISA WAZANZIBARI WANA HAKI YA KUSIKILIZWA WANAMTAKA NANI KUWA RAISI WAO , NA WENGI WANAMTAKA BILALI LAKINI WABARA NDIO WANA NGUVU SHAME !!!NAJUA KUNA WANA CCM WANAWEZA WAGOME KUPIGA KURA MWAKA HUU NA TUTAONA HUYO SHEIN AKISHINDA ATASHINDA WA ASILIMIA NDOGO SANA HII NI HATARI KWANI CUF ITAWEZA KUSHINDA!!!DUUU RAISI MPEMBA MAAJABU HATA KAMA CUF HAITOSHINDA PRACTICALY IMESHINDA
ReplyDeleteBila shaka CCM ilikuwa inachagua mgombea wake ktk nafasi ya Uraisi zanzibar na haikuwa inachagua Raisi wa zanzibar, kwa mantiki hiyo wanzazibar hawajachaguliwa Raisi wao na watanganyika maana uchaguzi mkuu wanzazibar ndio watakao piga kula za kuchagua Kiongozi wanaomtaka na siyo Watanganyika, Katika hilo sio nadhalia ya nyie mnao lalama eti wanzabari wanachaguliwa Kiongozi. Ujumbe umefika....
ReplyDelete