wakati akielekea kuchukua fomu za kugombea ubunge wa jimbo la Bumbuli
Kuume kwake ni dada yake, Mwamvita Makamba
January Makamba akipokea fomu
January akicheza ngoma wakati wa kuchukua fomu


Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dream Team 2015555555555555555555
ReplyDeleteJohn Mashaka
January Makmaba
Dr. Hildebrand Shayo
Hiyo Dream Team Ya Ukombozi utakuwa umekamilika
CCM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Mwaka huu ni bonge la movie...kazi ipo...kwenye ubunge huu
ReplyDeletekanumba uko wapi pata material hapa...
Januari na Mwamvita hamjatulia...like father like son and daughter...hats off januari tupo pamoja na nitafurahi ukifuata nyayo za baba. Dad mwamvita nawe wataka viti maalum?
ReplyDeleteKwani January peke yake ndiye amechukua form Bumbuli, mbona wengi tu, Ankal tuwekee na wengine achha hizo.
ReplyDeleteIngawaje siipendi kabisa CCM kutokana na mambo mengi mabaya iliyoyafanya kwa nchi yetu, nimeipenda hiyo picha ya Januari na Dada yake. Inaonyesha dhahiri ya kuwa kuna cohesiviness katika familia ya mzee Makamba.Hili ni jambo linalofaa kuigwa na familia nyingine.
ReplyDeleteHAYA BWANA MAJI HUFATA MKONDO,LAITI NA MIMI BABA YANGU ALIYE MKULIMA WA NYANYA PALE IRINGA,ILULA KIJIJI CHA LUGANGA ANGEKUWA ALICHAGUA FUNGU LILILO JEMA(SIASA) NA MIMI NINGEKUWA KAMA JANUARY,RIDHIWAN N.K GURUVI IWATANGE(MUNGU AWASAIDIE)MGENDELAGE ULUDODI ULUKAFU ULADENYEKA
ReplyDeletePolitics is how people are mobilized to elect their own representatives.In Tanzania people are always rally behind the CCM candidates most of the time because of the deep roots it has in the Tanzania's society.I don't know much about this guy January, his education, experience,vision and his political understanding but if he wins the CCM primary,he will be the next Bumbuli's member of parliament for CCM.Good luck Dude..,Mdau Singida
ReplyDeletehongera kwa ushindi lazima ushinde. emmghoshi
ReplyDeleteONGELA SANA JANUARY TUNAITAJI VIJANA KAMA NYINYI KWENYE TAIFA LETU,VIJANA TUNAWEZA BIG UP
ReplyDeletehuyu mkwamis "KAOA" au? nimempenda sijui mshenga awe kamichuzi? bonge la mbunge mtarajiwa sikujua mwamvita ana ndugu wa nguvu hivi.
ReplyDeleteSifa zangu: mi ni wakili.
wadau nisaidieni pls?
Big-up January tuko pamoja ni kweli sasa ni zamu yetu vijana kuongoza...,Richard Mizambwa,mizambwar@yahoo.com,masomoni Uholanzi.
ReplyDeleteHEBU NA NYIE NENDENI VIJIJINI KWENU KWA ASILI YENU TUONE KAMA MTAPOKELEWA KAMA JANUARY!
ReplyDeleteHIZO PICHA ZINAONYESHA KUWA WANAMJUA HUKO KWAO NA SI MGENI NAO NA AMESHIRIKIANA NAO HUKO SIKU ZA NYUMA. KINA SIE TUSIOJUA MAKWETU WALA KUTAKA KUSHIRIKIANA NA WATU WETU KUONDOA UMASIKINI JAPO KWA KIDOGO TULICHONACHO TUTABAKI KULALAMA TU!
Hongera ndugu January tunakutakia killa la kheri lakini ukaze buti maana hapo kuna mtu mzima noma, lakini iweje kule Sumbawanga mgombea kwa tkt ya CCM ndugu Mtepa wamemkatalia kuchukuwa fomu eti kaenda na wasindikizaji na ngoma mbona na huku ni hivyox2,ukweli na usawa uko wapi? naomba ufafanuzi au kila wilaya ina utaratibu wake kwa CCM?
ReplyDeletebumbuli kwa mzee shelukindo?
ReplyDeleteTIME FOR CHANGE JAMA, TUSIWE WAJINGA! KWANINI TUNAKUWA HIVI LAKINI?
ReplyDeletemichuzi wacha kubania comment na kuweka za kusifiwa january tumekushtukia nyingine mbona una ignore sio siasa hio ni ufisadi huo weka comment zote. Au bcoz umelipwa nini?
ReplyDeleteJanuary anamuonea Mzee Shelukindo. Mzee amezeeka sasa ivi hawezi kukeep up na hawa youngblood. Inabidi kina Baraka na OScar Shelukindo wagombee ili iwe same weight boxing match.
ReplyDeleteHuyu dogo January ni heavy weight mzee Shelukindo ni amature light weight. Ila dogo January kichwa kimetulia sana na jina lake la mwisho lisingekuwa Makamba ndio angefanikiwa zaidi. Watu wanamprejudice kwaajili ya jina la mwisho. Wanashindwa kuona real qualities za dogo.
MAMBO NI YALE YALE TU...THIS IS JUST A PHOTOAP PROMOTION. MBONA WENGI WAMECHUKUA FOMU BUMBULI, BUT NON OF THEM HAVE BEEN SHOWN??
ReplyDeleteHebu wacheni hizo! Penye udhia penyeza rupia.
ReplyDeleteUkitulipa vitochi, ukatununulia kivazi (kanga) na baada ya kuchukua fomu ukatuangushia pilau basi tutakuja kukusherehekea tu!
Hata mafisadi si walishangiriwa kwa nguvu huko kwenye majimbo yao?
Kaazi kweli kweli! CCM ile ile nenda rudi, hata haibadiliki. Watu wanapeana wenyewe kwa wenyewe! Haya bwana, tutafika tu.
ReplyDeleteni wakati sahihi kwa wale wote wenye nia njema na mustakabali sadifu kwa manufaa ya nchi hii sasa na muhimu zaidi kwa kizazi kijacho,
ReplyDeleteTuache kuongea peke yake pia tujitokeze na kutimiza wajibu wetu kama Watanzania, wakati wa mabadiliko ni sasa,
Kila la kheri January, wakati wa mabadiliko umefika,
Matukio
Anoni wa Tue Jul 20, 01:46:00 PM, usiumize kichwa sana we kumbuka Shelukindo, Richmond ya Lowasa na utetezi wa Yusufu Makamba dhidi ya wahusika wa Richmond, utajua kinachoendelea sasa hivi. Sasa nakubaliana na aliyosema Mpendanzoe siku anajiengua CCM, hii inaanza kujionesha wazi sasa . Wakati sie tunapumbazwa na tamaa za madaraka za Chama Tawala wenzetu kwenye East African Community wapo sebuleni kwetu na wengine washaingia hadi jikoni kwetu wanajipikia chakula chao.Itakumbukwa jinsi kituo cha Iringa kilivyokua kikilalamikiwa kwenye michuano ya Taifa Cup 2010 kwamba Iringa ilikua ikibebwa waziwazi sikupata jibu,ila niliposikia Mwakalebela wa TFF naye katangaza nia nikaona ahaaa!Yaleyalee. This explain why politics in Tanzania is the reason for our poverty.Kama kawaida Michuzi linda maslah ya chama,ipotezee
ReplyDeleteMbona ananyoa upara hata wajukuu hajapata?
ReplyDeleteMASHAKA,...ARE YOU INSPIRED? nauliza hivi ....are you?najua you are...sasa unasubiri nini?
ReplyDeleteMzee Shelukindo ana wanawe wakina Sam na Pele wacha Baraka pembeni.Kama kuna wakuchukua hatua za baba yao ni hawa basi.
ReplyDeleteMzee Shellukindo nakupa kura zote maana umetusaidia sana sisi wanyonge..wazee kama wewe mpo wachache sana nchi hii
ReplyDeleteWAPI LIZ ONE WA KIKWETE? JAMANI HACHUKUI FOMU UKEREWEEEEEEEEE
ReplyDeleteWATANZANIA HUWA NINAWAONEA SANA HURUMA NA HUWA SIWAELEWI. MIAKA HAMISINI BAADA YA UHURU MAISHA YA WATU BADO YUKO CHINI SANA. ANANGALIA MAZINGIRA AU BACKGROUND YA HIZI PICHA ZINATIA HURUMA SANA.
ReplyDeleteUMASIKINI MKUBWA UNADHIHIRIKA KATIKA HIZI PICHA. LAKINI CHA KUSHANGAZA BADO HAWA WATU WANAFANYA SIASA ZA KISHABIKI AMBAZO HAZINA NA HAZIJALITA TIJA TANGU TANZANIA IPATA HURU.
KWA SIASA HIZI TANZANIA ITABAKI KUWA MASIKINI MPAKA MWISHO WA DUNIA.
Jaman!! Makubwa haya, Yaani vyeo ni kurithishana tu. Afu, nakumbuka siku moja babe Mwamvita (...) alishasemaga alishawahi kuwawekea akina Janu box la condom chumbani kwao, akawa anlimonitor, siku ya siku kulicheki, TUPU!!! akasema " Nilifurahi na nikamuambia mama yao,lile box limekwisha". Mmmh!!!! haya.
ReplyDeleteSina kipingamizi na mgombea kwa kuzingatia kuwa ni haki yake ya kikatiba. Baba kada wa CMM,dada kibosile VODA na kaka Mbunge. Jamani Tanzania haikujengwa katika misingi ya kurithishana madaraka. Nitawakumbuka daima wazalendo wa kweli Tanzania, si wengine hawa bali ni MORINGE SOKOINE NA JULIUS NYERERE.
ReplyDeleteVipi Kwashemshi na Mazanguru kwanini Bumbuli? nilifikilia damu nzito kuliko maji huku si ndio kwenu? Au kwenyewe kuna benki, lami, na umeme tayari?
ReplyDelete