January Makamba akizongwa na kinamama
wakati akielekea kuchukua fomu za kugombea ubunge wa jimbo la Bumbuli
mdau January Makamba akijaza fomu ya kugombea ubunge wa Bumbuli.
Kuume kwake ni dada yake, Mwamvita Makamba January Makamba akipokea fomu

January akicheza ngoma wakati wa kuchukua fomu
wasindikizaji wa January wakielekea eneo la tukio

January oyeee....! anaimba huyu mama

wakazi wa Bumbuli wakimpongeza January kwa hatua hiyo
KWA HABARI NA PICHA ZAIDI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2010

    Dream Team 2015555555555555555555

    John Mashaka
    January Makmaba
    Dr. Hildebrand Shayo

    Hiyo Dream Team Ya Ukombozi utakuwa umekamilika

    CCM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2010

    Mwaka huu ni bonge la movie...kazi ipo...kwenye ubunge huu

    kanumba uko wapi pata material hapa...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2010

    Januari na Mwamvita hamjatulia...like father like son and daughter...hats off januari tupo pamoja na nitafurahi ukifuata nyayo za baba. Dad mwamvita nawe wataka viti maalum?

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2010

    Kwani January peke yake ndiye amechukua form Bumbuli, mbona wengi tu, Ankal tuwekee na wengine achha hizo.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2010

    Ingawaje siipendi kabisa CCM kutokana na mambo mengi mabaya iliyoyafanya kwa nchi yetu, nimeipenda hiyo picha ya Januari na Dada yake. Inaonyesha dhahiri ya kuwa kuna cohesiviness katika familia ya mzee Makamba.Hili ni jambo linalofaa kuigwa na familia nyingine.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2010

    HAYA BWANA MAJI HUFATA MKONDO,LAITI NA MIMI BABA YANGU ALIYE MKULIMA WA NYANYA PALE IRINGA,ILULA KIJIJI CHA LUGANGA ANGEKUWA ALICHAGUA FUNGU LILILO JEMA(SIASA) NA MIMI NINGEKUWA KAMA JANUARY,RIDHIWAN N.K GURUVI IWATANGE(MUNGU AWASAIDIE)MGENDELAGE ULUDODI ULUKAFU ULADENYEKA

    ReplyDelete
  7. Politics is how people are mobilized to elect their own representatives.In Tanzania people are always rally behind the CCM candidates most of the time because of the deep roots it has in the Tanzania's society.I don't know much about this guy January, his education, experience,vision and his political understanding but if he wins the CCM primary,he will be the next Bumbuli's member of parliament for CCM.Good luck Dude..,Mdau Singida

    ReplyDelete
  8. hongera kwa ushindi lazima ushinde. emmghoshi

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 20, 2010

    ONGELA SANA JANUARY TUNAITAJI VIJANA KAMA NYINYI KWENYE TAIFA LETU,VIJANA TUNAWEZA BIG UP

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 20, 2010

    huyu mkwamis "KAOA" au? nimempenda sijui mshenga awe kamichuzi? bonge la mbunge mtarajiwa sikujua mwamvita ana ndugu wa nguvu hivi.

    Sifa zangu: mi ni wakili.

    wadau nisaidieni pls?

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 20, 2010

    Big-up January tuko pamoja ni kweli sasa ni zamu yetu vijana kuongoza...,Richard Mizambwa,mizambwar@yahoo.com,masomoni Uholanzi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 20, 2010

    HEBU NA NYIE NENDENI VIJIJINI KWENU KWA ASILI YENU TUONE KAMA MTAPOKELEWA KAMA JANUARY!

    HIZO PICHA ZINAONYESHA KUWA WANAMJUA HUKO KWAO NA SI MGENI NAO NA AMESHIRIKIANA NAO HUKO SIKU ZA NYUMA. KINA SIE TUSIOJUA MAKWETU WALA KUTAKA KUSHIRIKIANA NA WATU WETU KUONDOA UMASIKINI JAPO KWA KIDOGO TULICHONACHO TUTABAKI KULALAMA TU!

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 20, 2010

    Hongera ndugu January tunakutakia killa la kheri lakini ukaze buti maana hapo kuna mtu mzima noma, lakini iweje kule Sumbawanga mgombea kwa tkt ya CCM ndugu Mtepa wamemkatalia kuchukuwa fomu eti kaenda na wasindikizaji na ngoma mbona na huku ni hivyox2,ukweli na usawa uko wapi? naomba ufafanuzi au kila wilaya ina utaratibu wake kwa CCM?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 20, 2010

    bumbuli kwa mzee shelukindo?

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 20, 2010

    TIME FOR CHANGE JAMA, TUSIWE WAJINGA! KWANINI TUNAKUWA HIVI LAKINI?

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 20, 2010

    michuzi wacha kubania comment na kuweka za kusifiwa january tumekushtukia nyingine mbona una ignore sio siasa hio ni ufisadi huo weka comment zote. Au bcoz umelipwa nini?

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 20, 2010

    January anamuonea Mzee Shelukindo. Mzee amezeeka sasa ivi hawezi kukeep up na hawa youngblood. Inabidi kina Baraka na OScar Shelukindo wagombee ili iwe same weight boxing match.

    Huyu dogo January ni heavy weight mzee Shelukindo ni amature light weight. Ila dogo January kichwa kimetulia sana na jina lake la mwisho lisingekuwa Makamba ndio angefanikiwa zaidi. Watu wanamprejudice kwaajili ya jina la mwisho. Wanashindwa kuona real qualities za dogo.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 20, 2010

    MAMBO NI YALE YALE TU...THIS IS JUST A PHOTOAP PROMOTION. MBONA WENGI WAMECHUKUA FOMU BUMBULI, BUT NON OF THEM HAVE BEEN SHOWN??

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 20, 2010

    Hebu wacheni hizo! Penye udhia penyeza rupia.

    Ukitulipa vitochi, ukatununulia kivazi (kanga) na baada ya kuchukua fomu ukatuangushia pilau basi tutakuja kukusherehekea tu!

    Hata mafisadi si walishangiriwa kwa nguvu huko kwenye majimbo yao?

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 20, 2010

    Kaazi kweli kweli! CCM ile ile nenda rudi, hata haibadiliki. Watu wanapeana wenyewe kwa wenyewe! Haya bwana, tutafika tu.

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 20, 2010

    ni wakati sahihi kwa wale wote wenye nia njema na mustakabali sadifu kwa manufaa ya nchi hii sasa na muhimu zaidi kwa kizazi kijacho,

    Tuache kuongea peke yake pia tujitokeze na kutimiza wajibu wetu kama Watanzania, wakati wa mabadiliko ni sasa,

    Kila la kheri January, wakati wa mabadiliko umefika,

    Matukio

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 20, 2010

    Anoni wa Tue Jul 20, 01:46:00 PM, usiumize kichwa sana we kumbuka Shelukindo, Richmond ya Lowasa na utetezi wa Yusufu Makamba dhidi ya wahusika wa Richmond, utajua kinachoendelea sasa hivi. Sasa nakubaliana na aliyosema Mpendanzoe siku anajiengua CCM, hii inaanza kujionesha wazi sasa . Wakati sie tunapumbazwa na tamaa za madaraka za Chama Tawala wenzetu kwenye East African Community wapo sebuleni kwetu na wengine washaingia hadi jikoni kwetu wanajipikia chakula chao.Itakumbukwa jinsi kituo cha Iringa kilivyokua kikilalamikiwa kwenye michuano ya Taifa Cup 2010 kwamba Iringa ilikua ikibebwa waziwazi sikupata jibu,ila niliposikia Mwakalebela wa TFF naye katangaza nia nikaona ahaaa!Yaleyalee. This explain why politics in Tanzania is the reason for our poverty.Kama kawaida Michuzi linda maslah ya chama,ipotezee

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 20, 2010

    Mbona ananyoa upara hata wajukuu hajapata?

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 20, 2010

    MASHAKA,...ARE YOU INSPIRED? nauliza hivi ....are you?najua you are...sasa unasubiri nini?

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 20, 2010

    Mzee Shelukindo ana wanawe wakina Sam na Pele wacha Baraka pembeni.Kama kuna wakuchukua hatua za baba yao ni hawa basi.

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 20, 2010

    Mzee Shellukindo nakupa kura zote maana umetusaidia sana sisi wanyonge..wazee kama wewe mpo wachache sana nchi hii

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 20, 2010

    WAPI LIZ ONE WA KIKWETE? JAMANI HACHUKUI FOMU UKEREWEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  28. AnonymousJuly 20, 2010

    WATANZANIA HUWA NINAWAONEA SANA HURUMA NA HUWA SIWAELEWI. MIAKA HAMISINI BAADA YA UHURU MAISHA YA WATU BADO YUKO CHINI SANA. ANANGALIA MAZINGIRA AU BACKGROUND YA HIZI PICHA ZINATIA HURUMA SANA.

    UMASIKINI MKUBWA UNADHIHIRIKA KATIKA HIZI PICHA. LAKINI CHA KUSHANGAZA BADO HAWA WATU WANAFANYA SIASA ZA KISHABIKI AMBAZO HAZINA NA HAZIJALITA TIJA TANGU TANZANIA IPATA HURU.

    KWA SIASA HIZI TANZANIA ITABAKI KUWA MASIKINI MPAKA MWISHO WA DUNIA.

    ReplyDelete
  29. AnonymousJuly 20, 2010

    Jaman!! Makubwa haya, Yaani vyeo ni kurithishana tu. Afu, nakumbuka siku moja babe Mwamvita (...) alishasemaga alishawahi kuwawekea akina Janu box la condom chumbani kwao, akawa anlimonitor, siku ya siku kulicheki, TUPU!!! akasema " Nilifurahi na nikamuambia mama yao,lile box limekwisha". Mmmh!!!! haya.

    ReplyDelete
  30. Sina kipingamizi na mgombea kwa kuzingatia kuwa ni haki yake ya kikatiba. Baba kada wa CMM,dada kibosile VODA na kaka Mbunge. Jamani Tanzania haikujengwa katika misingi ya kurithishana madaraka. Nitawakumbuka daima wazalendo wa kweli Tanzania, si wengine hawa bali ni MORINGE SOKOINE NA JULIUS NYERERE.

    ReplyDelete
  31. AnonymousJuly 21, 2010

    Vipi Kwashemshi na Mazanguru kwanini Bumbuli? nilifikilia damu nzito kuliko maji huku si ndio kwenu? Au kwenyewe kuna benki, lami, na umeme tayari?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...