Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 13, 2010

    Huyu mama jina kubwa lakini anaongea pumba tupu. Imebidi niishie pale alipoeleza maisha yamebadilika na sasa hivi ana mchuma. Bongo kweli Tambarare kuwa na mchuma nni maisha kubadilika?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 13, 2010

    Wakati umeenda wapi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 13, 2010

    I have always thought you need akili to fanikiwa in Bongo!!!
    Look how this sucessful intaprinuwa anavyojiganyaga kwenye press release as if hakujiandaa!

    ReplyDelete
  4. UMESHINDWA KUANDIKA KWA KISWAHILI????.......DAMN, KWELI BONGO TAMBARARE....MADAME RITA HUYO BWANA

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 13, 2010

    Ankal Michuzi!
    Habari za majukumu?
    Mbona huyu dada noma anasema ameandika maneno kwa kiingereza hawezi kuyatafasili kwenda kiswahili!
    Mie nina swali la kizushi kwako Ankal kwa kuwa ulikuwepo kwenye kikao chake. JE YEYE NI MBONGO HALISI AU NDO WAHAMIAJI? Na mwisho hayo aliyoyandika kwa lugha ya Ukerewe ayaonyeshe tuwatafasilie walala hoi. Kwa ujumla mie nachukizwa sana na wabongo kuwa wanongea kiswahili na kuchanganya ndani kiingereza basi ingekuwa vizuri kieleweke mtu amwage kimombo na kuwe na wakalimani. Weka huu ujumbe Ankal usiupuze.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 13, 2010

    BSS inaweza stand for alot of things,Huyu binti VP????Kuuliza si ujinga.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 13, 2010

    BSS-BONGO STARS SEARCH lugha za wa2 hizi.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 13, 2010

    kishankupe kinajishebedua! ww watu wanakusikiliza na ww unaongea kama unatongozwa uchochoroni na muuza chips yai!

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 13, 2010

    MADAMU RITHA, HUU NI UPUUZI, KWANI WEWE UMEKUWA YOHANA MASHAKA UNASHINDWA KUTAFSIRI KWA KISWAHILI, KIZUNGU CHENYEWE MGOGORO SASA CHA KUSHINDWA KUTAFSIRI NI NINI? HATUTAKI HAYA MAMBO YA KIINGEREZA ZA JOHN MASHAKA HAPA

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 14, 2010

    Mambo ya Bongo.Shule haijapanda ndo maana anaongea pumba.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 14, 2010

    We Rita kachukue course inayo-involve public speaking.. sio jambo la kuonea aibu kujiendeleza katika sehemu unayoona inakutatiza.Mi msomi lakini pia nilikuwa siwezi kujieleza kwa hiyo nikatilia mkazo hilo eneo na sasa niko fit. Director mzima huwezi chomekea neno "mchuma" kwenye press conference kufafanua mafanikio ya mtu.Pia unababaika na kujikanyaga kama mtoto wa shule.
    Michuzi usibane tunaelimishana tu bro.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 14, 2010

    HUYU NI MGANDA NAFAHAM STORY YAKE FIKA.kamtesa mama mengi hana lolote kaja kumtesa marehem mama yetu arudi kampala.anaongea na maringo mengi anazani atampata mengi mwengine,toka zako

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 14, 2010

    Dolaman,
    Maza kapendeza kweli huyu.

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 14, 2010

    Rita please stop kunijia ndotoni kila niki sleep na kunifanya moyo wangu unisaliti. me luv you to much dia .
    mdau UK.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...