Mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Joseph Serukamba kulia akipokea fomu ya kuwania Ubunge katika hilo kutoka kwa Katibu wa CCM, Luteni Mstaafu, Ally Kinga Shamte Wilaya ya Kigoma Mjini, katika Ofisi za Chama hicho Wilaya ya Kigoma Mjini, leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2010

    Ok Mr Serukaba. Tell us what have you done after five years in the office and why we should vote you in again?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2010

    Wewe unayetaka kujua amefanya nini, si uende Kigoma mjini kuliko kubwabaga kwenye mtandao...na mpiga kura wa ukweli wa Kigoma mjini hawezi kuuliza swali la kizushi kama hili, kwani it's obvious what Mr. Serukamba has done...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2010

    Sema hapa mbona mnakua wakali umeulizwa amefanya nini unasema mtu aende kigoma...weka mambo hapa...nyie watu wa bongo mkigombea hamtaki muulizwe maswali mnakua wakali kweli. Ukiingia kwenye public life you have to know everything is out there so and you have to be ready to answer alllllll...tell us what is he up to?

    Watu wanataka kujua.....Mimi sitoki huko kwao lakini kama nyie wafuasi wake ndio mnakuja na jazba hivyo mtamuharibia mwenzenu...Wakati wa ukali na kujifnaya ukiwa kwenye serikali huguswi umepita....mablog kibao na the street talk

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2010

    "It is obvious what Mr Selukamba has done..." What is so obvious that is evident? You can't even mention one thing, just and only just one thing.

    Back to my question: Muheshimiwa Selukamba, will you please tell us why we should vote for you again?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2010

    Mdau wa Tue Jul 20, 12:03:00 AM naomba mdahalo nawe.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 20, 2010

    We unayetaka mdahalo unagombea cheo gani kwanza halafu tuwekee CV yako kwanza tuone unaweza au ni pumba.

    Ras Seydou
    Burma

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 20, 2010

    Kuna mengi Serukamba aliyofanikisha kwa maendeleo ya Kigoma Mjini, tukianza kuyalist hapa tutakuwa hatufanyi kazi kwa leo, lakini nimeona niyatoe haya machache kwa wale ambao bado hawajaona au kuyasikia:

    Barabara za lami zimeongezeka kwa kasi mjini Kigoma na zile zisizo za lami zimekuwa zikikarabatiwa mara kwa mara na mipango ya kuongeza barabara ipo.

    Shule zimeongezeka kwa kasi mjini Kigoma, hii inaongeza kasi ya elimu mjini Kigoma, njia ya pekee itakayoleta maendeleo ya kudume Mjini Kigoma.

    Umeme ulikuwa tatizo kubwa kwa mji wa Kigoma, lakini hivi sasa, genereta 5 zilizozinduliwa hivi karibuni zinaufanya mji wa Kigoma kuwa na umeme zaidi ya mahitaji yao.

    Hayo ni baadhi tu ya aliyofanikisha chini ya ilani ya CCM ya 2005. Nikipata muda zaidi "Mjomba" ntakupa mengine ili umfahamu zaidi Serukamba.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 20, 2010

    Hakuna la maana alilolifanya awaachie na wengine ccm muwe makini kwenye maamuzi yenu la sivyo chadema watachukua hilo jimbo kiulaiiiini bila tabu

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 21, 2010

    sidhani kama anaweza, bora agombanie maeneo ya british legion Ilala.amejitahidi kidogo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...