Home
Unlabelled
serukamba achukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la kigoma mjini leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ok Mr Serukaba. Tell us what have you done after five years in the office and why we should vote you in again?
ReplyDeleteWewe unayetaka kujua amefanya nini, si uende Kigoma mjini kuliko kubwabaga kwenye mtandao...na mpiga kura wa ukweli wa Kigoma mjini hawezi kuuliza swali la kizushi kama hili, kwani it's obvious what Mr. Serukamba has done...
ReplyDeleteSema hapa mbona mnakua wakali umeulizwa amefanya nini unasema mtu aende kigoma...weka mambo hapa...nyie watu wa bongo mkigombea hamtaki muulizwe maswali mnakua wakali kweli. Ukiingia kwenye public life you have to know everything is out there so and you have to be ready to answer alllllll...tell us what is he up to?
ReplyDeleteWatu wanataka kujua.....Mimi sitoki huko kwao lakini kama nyie wafuasi wake ndio mnakuja na jazba hivyo mtamuharibia mwenzenu...Wakati wa ukali na kujifnaya ukiwa kwenye serikali huguswi umepita....mablog kibao na the street talk
"It is obvious what Mr Selukamba has done..." What is so obvious that is evident? You can't even mention one thing, just and only just one thing.
ReplyDeleteBack to my question: Muheshimiwa Selukamba, will you please tell us why we should vote for you again?
Mdau wa Tue Jul 20, 12:03:00 AM naomba mdahalo nawe.
ReplyDeleteWe unayetaka mdahalo unagombea cheo gani kwanza halafu tuwekee CV yako kwanza tuone unaweza au ni pumba.
ReplyDeleteRas Seydou
Burma
Kuna mengi Serukamba aliyofanikisha kwa maendeleo ya Kigoma Mjini, tukianza kuyalist hapa tutakuwa hatufanyi kazi kwa leo, lakini nimeona niyatoe haya machache kwa wale ambao bado hawajaona au kuyasikia:
ReplyDeleteBarabara za lami zimeongezeka kwa kasi mjini Kigoma na zile zisizo za lami zimekuwa zikikarabatiwa mara kwa mara na mipango ya kuongeza barabara ipo.
Shule zimeongezeka kwa kasi mjini Kigoma, hii inaongeza kasi ya elimu mjini Kigoma, njia ya pekee itakayoleta maendeleo ya kudume Mjini Kigoma.
Umeme ulikuwa tatizo kubwa kwa mji wa Kigoma, lakini hivi sasa, genereta 5 zilizozinduliwa hivi karibuni zinaufanya mji wa Kigoma kuwa na umeme zaidi ya mahitaji yao.
Hayo ni baadhi tu ya aliyofanikisha chini ya ilani ya CCM ya 2005. Nikipata muda zaidi "Mjomba" ntakupa mengine ili umfahamu zaidi Serukamba.
Hakuna la maana alilolifanya awaachie na wengine ccm muwe makini kwenye maamuzi yenu la sivyo chadema watachukua hilo jimbo kiulaiiiini bila tabu
ReplyDeletesidhani kama anaweza, bora agombanie maeneo ya british legion Ilala.amejitahidi kidogo
ReplyDelete