Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Sporah Sporah Sporah, yaani nakuona tu mama jinsi unavopepea, Hongera sana Mamii your doing a wonderful job, we are very proud of you na karibu sana Tanzania.

    ReplyDelete
  2. Sporah Jamani mi nifan wako mkubwa sana,sikosi kuangalia kipindi chako star TV, napenda sana shoo yako, inamafunzo mazuri naitaleta mafanikio makubwa sana hapa Tanzania hasa kwa vijana wadogo.Ubarikiwe sana

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 11, 2010

    Munguuuuuuu WEeeeeeeeeeeee Huyo mtoto balaa, DUUU Ka Ray C kadogo na Kashakira copy.
    Sporah Jamani Umependeza sana sana saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana. KAMA KAWAIDA YAKO
    pra pra pra

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 11, 2010

    I loove that look Sporah, Hukoseagi mtoto wa Njau. show nzuri sana you make us proud as Tanzania.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 11, 2010

    Sporah Umependeza sana, napenda show yako i think its one of the best show in Tanzania right now. Ila maoni yangu ni hivi nadhani ungekuja Bongo ili uweze kuongea na vijana hapa Tanzania.
    Kama haya mambo ya urembo yani hapa Bongo ni miyeyusho tu. MAMISS wetu hapa Tz hawajui hata mlima KILIMANJARO uko wapi! yani ni aibu tupu

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 12, 2010

    Looking Mwaaah Sporah, Always representing.Love your show.

    ReplyDelete
  7. Kazi nzuri Sporah, I like your Show. Your good example to our youth in Tanzania. Keep up shining light.

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 12, 2010

    Pendetha weweeee.. Wakilisha wakilisha Sporah, kazi nzuri sana endelea kuitangaza Tanzania. Uko juu mama

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 12, 2010

    Good Staff Sporah. UKO JUUUU

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 12, 2010

    Napenda sana shoo yako binti, maana inaelimisha jamii, sasa haya mambo ya mamiss yanaelimisha nini? hasa shoo kama hii kweli mmependeza lakini watu hapa wanajifunza kitu gani? Mambo ya mamiss yamepitwa na wakati, ni kupotosha tuu vijana. Naomba uendelee na concept ya Spora Shoo na sio haya mambo ya mamiss. Otherwise am a big fan of your shoo sikosi kuangalia STAR TV. Ubarikiwe sana

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 12, 2010

    Nice Show Sporah, love it.

    ReplyDelete
  12. Spora mi naitwa Lina naishi Musoma, Kila siku nakuangalia wewe kama Role Model wangu.
    Napenda sana Sho yako na pia sikosi kuiangalia. Leo Ombi langu kwako ni ili, Naomba ufanye program ya kuhusu vijana wenye vipaji vya kuimba na kucheza kwamba wazazi wawape nafasi yakupractic talent zao, maana wazazi wetu hapa Tanzania wanasema maliza kwanza shule, na mimi naamini Samaki Mkunje angali mbichi.
    So wazazi wanatakiwa waache watoto wajijenge na Talent zao kuanzia wakiwa wadogo sio wakisha kua wakubwa.
    Asante sana na endelea na kazi nzuri.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 12, 2010

    Mtoto mkata mauno balaa sana,akikua atakuaje?

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 12, 2010

    Mamaaa Kiwalo, asante sana Michuzi kwa hii video.

    Sporah dada Mi hilo gauni tu plse pakulipata, ntatoa anyamout, Kuna WHITE part jamani Bongo tuambiane basi jinsi yakulipata hilo gauni na viatu, dada angu anakaa london amesema anaweza kuniordia. Full kama ulivo Dada nije niwafunike kwenye white part hapa Bongo.
    Mi nataka Full OUT FIT sporah, viatu, mabangili hayo, hereni, Ntaku-Holla kwenye Facebook basi. PLSEEEEEEEEEEEE
    Love your show na hasa unavoondoka Pamba, Full Ma Victoria Beckham.
    Haloooooooooo, Wenye wivu wajinyonge.
    We love youuuu Sporaaaaaa na Sporah Showwwwwwwwwwwww
    UKO JUUUU

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 13, 2010

    sorry but this show is sucks and she sucks bad !! presentation ya show si poa kuanzia mtangazaji haupo practical even normal .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...