Home
Unlabelled
SPORAH NJAU CHATTING WITH THE WINNERS OF MISS & MR EAST AFRICA UK 2010.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sporah Sporah Sporah, yaani nakuona tu mama jinsi unavopepea, Hongera sana Mamii your doing a wonderful job, we are very proud of you na karibu sana Tanzania.
ReplyDeleteSporah Jamani mi nifan wako mkubwa sana,sikosi kuangalia kipindi chako star TV, napenda sana shoo yako, inamafunzo mazuri naitaleta mafanikio makubwa sana hapa Tanzania hasa kwa vijana wadogo.Ubarikiwe sana
ReplyDeleteMunguuuuuuu WEeeeeeeeeeeee Huyo mtoto balaa, DUUU Ka Ray C kadogo na Kashakira copy.
ReplyDeleteSporah Jamani Umependeza sana sana saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana. KAMA KAWAIDA YAKO
pra pra pra
I loove that look Sporah, Hukoseagi mtoto wa Njau. show nzuri sana you make us proud as Tanzania.
ReplyDeleteSporah Umependeza sana, napenda show yako i think its one of the best show in Tanzania right now. Ila maoni yangu ni hivi nadhani ungekuja Bongo ili uweze kuongea na vijana hapa Tanzania.
ReplyDeleteKama haya mambo ya urembo yani hapa Bongo ni miyeyusho tu. MAMISS wetu hapa Tz hawajui hata mlima KILIMANJARO uko wapi! yani ni aibu tupu
Looking Mwaaah Sporah, Always representing.Love your show.
ReplyDeleteKazi nzuri Sporah, I like your Show. Your good example to our youth in Tanzania. Keep up shining light.
ReplyDeletePendetha weweeee.. Wakilisha wakilisha Sporah, kazi nzuri sana endelea kuitangaza Tanzania. Uko juu mama
ReplyDeleteGood Staff Sporah. UKO JUUUU
ReplyDeleteNapenda sana shoo yako binti, maana inaelimisha jamii, sasa haya mambo ya mamiss yanaelimisha nini? hasa shoo kama hii kweli mmependeza lakini watu hapa wanajifunza kitu gani? Mambo ya mamiss yamepitwa na wakati, ni kupotosha tuu vijana. Naomba uendelee na concept ya Spora Shoo na sio haya mambo ya mamiss. Otherwise am a big fan of your shoo sikosi kuangalia STAR TV. Ubarikiwe sana
ReplyDeleteNice Show Sporah, love it.
ReplyDeleteSpora mi naitwa Lina naishi Musoma, Kila siku nakuangalia wewe kama Role Model wangu.
ReplyDeleteNapenda sana Sho yako na pia sikosi kuiangalia. Leo Ombi langu kwako ni ili, Naomba ufanye program ya kuhusu vijana wenye vipaji vya kuimba na kucheza kwamba wazazi wawape nafasi yakupractic talent zao, maana wazazi wetu hapa Tanzania wanasema maliza kwanza shule, na mimi naamini Samaki Mkunje angali mbichi.
So wazazi wanatakiwa waache watoto wajijenge na Talent zao kuanzia wakiwa wadogo sio wakisha kua wakubwa.
Asante sana na endelea na kazi nzuri.
Mtoto mkata mauno balaa sana,akikua atakuaje?
ReplyDeleteMamaaa Kiwalo, asante sana Michuzi kwa hii video.
ReplyDeleteSporah dada Mi hilo gauni tu plse pakulipata, ntatoa anyamout, Kuna WHITE part jamani Bongo tuambiane basi jinsi yakulipata hilo gauni na viatu, dada angu anakaa london amesema anaweza kuniordia. Full kama ulivo Dada nije niwafunike kwenye white part hapa Bongo.
Mi nataka Full OUT FIT sporah, viatu, mabangili hayo, hereni, Ntaku-Holla kwenye Facebook basi. PLSEEEEEEEEEEEE
Love your show na hasa unavoondoka Pamba, Full Ma Victoria Beckham.
Haloooooooooo, Wenye wivu wajinyonge.
We love youuuu Sporaaaaaa na Sporah Showwwwwwwwwwwww
UKO JUUUU
sorry but this show is sucks and she sucks bad !! presentation ya show si poa kuanzia mtangazaji haupo practical even normal .
ReplyDelete