Mh. Zitto Kabwe akiwa Jimboni Kigoma Kutoa Shukrani kwa wananchi.
Picha toka libeneke la Mh. Zitto Kabwe

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Patrick-MagazetiAugust 11, 2010

    Zitto anaongea maoni juu ya maendeleo ya Watanzania wote, siyo maendeleo ya wachache. Tanzania ni ya wote. "We are one people". Tanznia leo na kesho itaongozwa na viongozi wanaona mbali. Chaguwa kiongozi wa maendeleo ya wote.

    ReplyDelete
  2. Kila la kheri kaka, mkoa wetu ulisahaulika sana, na nakupongeza sana, kwa juhudi zako, sasa barabara ya rami imefika hadi nyumbani kwetu sina shida tena ya usafiri.

    Kilichobaki ni kupigania barabara ya rami kigoma tabora, manake nchi hii ni kama haijari mkoa wa kigoma.

    Ni jimboni kwako tu kwenye barabara ya rami ndefu huku majimbo ya kasulu na Kibondo wakiwa hawana rami tangu nchi ipate uhuru wakati miaka yote wanapeleka wabunge kuwakilishwa. Shame to them.

    Ila kaka, sina hakika sana, na huyo aliyewahi kuwa waziri vipindi tofauti aliyejiunga na chama chenu huko KGM kama ana msaada wa kweli, Kama ana MSAADA aseme hadharani ni kitu Gani alichosaidia hata jimboni kwake cha maendeleo katika vipindi vyote alivyoshika nyazifa za uwazili- ATAWALOSTISHA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...