Bibi Nyangeta Werema
By Cyprian Mwita
and Kichere Kisire
Bibi Nyangeta Werema is estimated to have crossed a century and therefore joining the oldest lived and living human being. Due to lack of records her birth date is not known, but she knows the following facts:

(i) She married one Muniko Mwita in Ketasakwa ward by then, Musoma district, Mara region in Tanzania before World War I
(ii) She remember her husband being picked to carry luggage for the Germans to Bagamoyo during preparation of the war and he escaped from the infamous Caravan White at Unyanyembe (Tabora)

The preceding facts may prove that Nyangeta
might have been born before 1900 and therefore living after 100 years.
Today she is living in Musoma town of Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kama aliolewa kabla ya WWI hata kama alizaliwa baada ya 1900 bado analo bati (jiti-nyanga)

    ReplyDelete
  2. MAcho yake mekundu ...!!!!

    ReplyDelete
  3. MUNGU WANGU,She is a treasure and I wish the government through serikali ya kijiji chini ya halmashauri ya wilaya ingemfahamu na kumsaidia. Anatakiwa awe na nurse na daktari wake maalum. Tanzania hatuna taaluma ya ku-trace umri wa mtu? Mbona ma-archiologist wana-trace miaka ya mifupa na ma-geologist wana-trace miaka ya miamba (rocks)? Why not umri wa binadamu, anapaswa afikishwe Guiness Book of World records.

    ReplyDelete
  4. waheshimu BABA YAKO NA MAMA YAKO UPATE MIAKA MINGI NA HERI KUBWA DUNIANI.amina ametimiza.

    ReplyDelete
  5. HIVI UMRI HUU TUTAUFIKISHA KWELI MAANA UKIANGALIA MAISHA TUNAOISHI WEE ACHA TUU, WEE CHUKULIA MFANO MTU KAMA MICHUZI, ASUBUHI ANAGONGA MAZIWA YA NG'OMBE WA KISASA ALIYETIBIWA JUZIJUZI NDIGANA KALI,MCHANA ATAPATA CHIPSI MAYAI YA KUKU WA KISASA ALAFU ANASHUSHIA NA SODA BARIDI, NA USIKU ATAPATA WALI KUKU WA KISASA HUKU AKIANGALIA TV KWA KARIBU KABISA ILI MIARE IMFANYIE MAANA ILE MIARE YA LAPTOP YAKE ILIYOMPIGA MCHANA KUTWA HAIMTOSHI. KUMBUKA MDA WOTE HUYO 75% YA MDA WAKE YUPO KWENYE KIYOYOZI, NA FEGI KIDOLENI. NA NIKIWAAMBIA ANA UMRI CHINI YA MIAKA 35 MTABISHA

    ReplyDelete
  6. Nimefurahi kumwona bibi huyu jamani Mungu aendelee kumpa siku nyingi za kuishi.

    ReplyDelete
  7. Kichwa cha habari na yaliyomo mbona hayaendani? Hapa ni kukisia tuu. Huwezi sema oldest living human wakati huna date of birth...

    ReplyDelete
  8. Huyu bibi ni NATIONAL TREASURE! Kwa kweli serikali wanastahili kumpa msaada mkubwa na kuhakikisha anatunzwa vizuri. Pia wanahistoria wamfuate na wamhoji na wafanye documentation kwa vile lazima aliona mengi katika maisha yake. Siku hizi si rahisi kusikia mtu ana umri mkubwa hivyo hasa barani Afrika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...