
Bibi Nyangeta Werema
By Cyprian Mwita
and Kichere Kisire
Bibi Nyangeta Werema is estimated to have crossed a century and therefore joining the oldest lived and living human being. Due to lack of records her birth date is not known, but she knows the following facts:
Bibi Nyangeta Werema is estimated to have crossed a century and therefore joining the oldest lived and living human being. Due to lack of records her birth date is not known, but she knows the following facts:
(i) She married one Muniko Mwita in Ketasakwa ward by then, Musoma district, Mara region in Tanzania before World War I
(ii) She remember her husband being picked to carry luggage for the Germans to Bagamoyo during preparation of the war and he escaped from the infamous Caravan White at Unyanyembe (Tabora)
The preceding facts may prove that Nyangeta
might have been born before 1900 and therefore living after 100 years.
Today she is living in Musoma town of Tanzania.
kama aliolewa kabla ya WWI hata kama alizaliwa baada ya 1900 bado analo bati (jiti-nyanga)
ReplyDeleteMAcho yake mekundu ...!!!!
ReplyDeleteMUNGU WANGU,She is a treasure and I wish the government through serikali ya kijiji chini ya halmashauri ya wilaya ingemfahamu na kumsaidia. Anatakiwa awe na nurse na daktari wake maalum. Tanzania hatuna taaluma ya ku-trace umri wa mtu? Mbona ma-archiologist wana-trace miaka ya mifupa na ma-geologist wana-trace miaka ya miamba (rocks)? Why not umri wa binadamu, anapaswa afikishwe Guiness Book of World records.
ReplyDeletewaheshimu BABA YAKO NA MAMA YAKO UPATE MIAKA MINGI NA HERI KUBWA DUNIANI.amina ametimiza.
ReplyDeleteHIVI UMRI HUU TUTAUFIKISHA KWELI MAANA UKIANGALIA MAISHA TUNAOISHI WEE ACHA TUU, WEE CHUKULIA MFANO MTU KAMA MICHUZI, ASUBUHI ANAGONGA MAZIWA YA NG'OMBE WA KISASA ALIYETIBIWA JUZIJUZI NDIGANA KALI,MCHANA ATAPATA CHIPSI MAYAI YA KUKU WA KISASA ALAFU ANASHUSHIA NA SODA BARIDI, NA USIKU ATAPATA WALI KUKU WA KISASA HUKU AKIANGALIA TV KWA KARIBU KABISA ILI MIARE IMFANYIE MAANA ILE MIARE YA LAPTOP YAKE ILIYOMPIGA MCHANA KUTWA HAIMTOSHI. KUMBUKA MDA WOTE HUYO 75% YA MDA WAKE YUPO KWENYE KIYOYOZI, NA FEGI KIDOLENI. NA NIKIWAAMBIA ANA UMRI CHINI YA MIAKA 35 MTABISHA
ReplyDeleteNimefurahi kumwona bibi huyu jamani Mungu aendelee kumpa siku nyingi za kuishi.
ReplyDeleteKichwa cha habari na yaliyomo mbona hayaendani? Hapa ni kukisia tuu. Huwezi sema oldest living human wakati huna date of birth...
ReplyDeleteHuyu bibi ni NATIONAL TREASURE! Kwa kweli serikali wanastahili kumpa msaada mkubwa na kuhakikisha anatunzwa vizuri. Pia wanahistoria wamfuate na wamhoji na wafanye documentation kwa vile lazima aliona mengi katika maisha yake. Siku hizi si rahisi kusikia mtu ana umri mkubwa hivyo hasa barani Afrika.
ReplyDelete